Imam aliyeishi Italy miaka 30 afukuzwa baada ya kuagiza waislamu waanze vita dhidi ya wasioamini katika uislamu

Imam aliyeishi Italy miaka 30 afukuzwa baada ya kuagiza waislamu waanze vita dhidi ya wasioamini katika uislamu

Soma, tafakari, ndio upost. Huu

Huyo imamu kapinga ushoga ndio sababu na humu mashoga wameisha shupaa. Ushoga upingwe tu hata kama Vatican inasapoti au kukaa kimya.
Mpo wengi sana brain washed na huo upumbaf.
Kuna neno lolote la ushoga limeongelewa katika post hiyo?
Embu lioneshe
 
Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini.

Swali la kujiuliza, hii dini imebuniwa juzi tu, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, waumini wake wanajiaminisha vipi kwamba wana uwezo wa kuua kila asiye wa hiyo dini, maana huu ugaidi tunaushuhudia leo na choko choko zote hizi zinafanywa na waislamu, it's fact.

View: https://x.com/realMaalouf/status/1850249916842389618

FB_IMG_1730471687954.jpg

KAFIRI mwenzako aliongea hayo maneno
 
Soma, tafakari, ndio upost. Huu

Huyo imamu kapinga ushoga ndio sababu na humu mashoga wameisha shupaa. Ushoga upingwe tu hata kama Vatican inasapoti au kukaa kimya.
Wapi amepinga mashoga? Hufukuzwi ulaya sababu unapinga ushoga. Serikali yoyote duniani haito kuvumilia kama unahatarisha usalama kwa publick kwa kauli kama hizo
 
Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini.

Swali la kujiuliza, hii dini imebuniwa juzi tu, miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, waumini wake wanajiaminisha vipi kwamba wana uwezo wa kuua kila asiye wa hiyo dini, maana huu ugaidi tunaushuhudia leo na choko choko zote hizi zinafanywa na waislamu, it's fact.
Hawa watu bado sijawaelewa,
wanakimbia kutoka nchi zao za kiislamu na kwenda nchi za kikristo,halafu huko wanakwenda kuupigania uislamu!
 
Wagalatia Kwa propaganda wapo vizuri Muislam gani katika Dunia hii atakayetaka Italy iwe nchi ya kiislam? Wakati hiyo ndio nchi iliyoanzisha dini ya ukristo

Hata wapagani wapo wengi kuliko waislam

Lakini Quran inasema hakuna kulazimishana katika dini hivyo sidhani kama Kuna Muislam atapingana na hili andiko na kuanza kuwalazimisha watu wawe waislam

Lakini pia uislam unakaza kuuwa mtu bila ya uatia awe dini yoyote Ile

Hizo ni propaganda
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Back
Top Bottom