hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Ni imam mkuu wa dhehebu la Shia hapa Tanzania. Anaitwa Hemed Jalala. Anakubali kashfa zote ambazo masuni wanawatuhumu mashia. Lakini naye akifungulia vitabu vya masuni, wanajawa uchungu maana kwa mujibu wake ni kwamba masuni wana majanga mengi zaidi kuliko mashia.
Video yake juu uchambuzi wa Quran 2:223 alijengea hoja kwa vitabu vya kisuni, hakika wapinzani wake waliishia kutusi tu.
Washia wanachangamoto zao ila ni moja la dhehebu la kislamu ambalo ni wasomi sana na watu wasiokurupuka. Na huwezi kusikia shia kajitoa muhanga.
Mohammed Dewji anatokea dhehebu hili la washia
Nitakuja kuelezea makundi yao katika zama za kati, yalikuwa ni moto.
Moja ya kundi lao ndio waling'oa jiwe la Alkaaba pale Maka na kulihamisha kwa miaka 23.
Ilikuwa mtiti mkubwa sana ..