antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Wameshashtuka sasa hivi..Alikuwepo kafiri mkubwa akiitwa Abujah..huyu alikua kafiri mkubwa kuliko kafiri wewe. Lkn kaucha uislam ukienea mpaka hivi sasa Marekani na Ulaya wanasilimu makundi kwa makundi
Basi Mmeambiwa mfuate Shirki Ya Mtume na Allah.. Obey Allah and Obey Messenger“Jaribuni kuwa wasafi kila muwezavyo. Kwa hakika Allah swt ameweka misingi ya Islam juu ya usafi; hivyo kamwe mtu mchafu haingii peponi
Hivi kati ya makundi yanayoingia kwenye ushoga na yanayoingia kwenye uislamu yapi ni makubwa?Alikuwepo kafiri mkubwa akiitwa Abujah..huyu alikua kafiri mkubwa kuliko kafiri wewe. Lkn kaucha uislam ukienea mpaka hivi sasa Marekani na Ulaya wanasilimu makundi kwa makundi
Hivi kati ya makundi yanayoingia kwenye ushoga na yanayoingia kwenye uislamu yapi ni makubwa?
Nimekuuliza swali naomba unijibuUislam umeamrisha mfanyaji na mfanywaji wote wauliwe. Jee ukiristo unasemaje?
Sijui. Lkn kama kweli ndio hivyo kama sheria ya kiislam inatawala adhabu yao ni kifoNimekuuliza swali naomba unijibu
Biblia imesimulia kwamba katika dhambi mbaya ni pamoja na ya ushoga imeonyesha mpaka kisa cha sodoma na gomoraSijui. Lkn kama kweli ndio hivyo kama sheria ya kiislam inatawala adhabu yao ni kifo
Papa Francis anafata biblia gani? Ktk uislam mtangaza ushoga aadhibiwe tena adhabu kaliBiblia imesimulia kwamba katika dhambi mbaya ni pamoja na ya ushoga imeonyesha mpaka kisa cha sodoma na gomora
Wakristo wanafuata biblia nini kimesema ila wakatoliki ndio wanamfuata papaPapa Francis anafata biblia gani? Ktk uislam mtangaza ushoga aadhibiwe tena adhabu kali
Sasa mbona hao waarabu hawaachi kiwapiga matukio mkienda huko kwao japo nyie mnawaona ndugu zenu katika Imaan mzee nyengine
Naona wewe umelewa pombe ya kidini ambayo ni mbaya zaidi kushinda ile pombe haramu na hatari ya kienyeji inayoitwa kill me quickly au maziko saa nane.Andika kiswahili watu wafahamu au andika ya kiarabu lugha ya binaadam baada ya kufufuliwa
Papa Francis anafata biblia gani? Ktk uislam mtangaza ushoga aadhibiwe tena adhabu kali
Tuna Mungu tofauti, ila shetani wetu mmoja..!!Alikuwepo kafiri mkubwa akiitwa Abujah..huyu alikua kafiri mkubwa kuliko kafiri wewe. Lkn kaucha uislam ukienea mpaka hivi sasa Marekani na Ulaya wanasilimu makundi kwa makundi
Mkuu hawa watu ni wagonjwa akili inayosababishwa na utafutaji wa bikraHehehe Jamaa siku hizi kama umepagawa vile, hizi hadithi za waarabu zinakuchizisha...
Mungu wa Wayahudi anazo nguvu nyingi sana kuzidi wenu
Vita vya 1 na 11 walipigana wakiristo kwa wakiristo tena wakauana sana. Vita vya 111 vinaelekea vitakuwa baina ya waislam na mayahudi kwa kusaidiwa wakiristo tunaona mashariki ya kati, Nani mgomvi hapo?Kama dini ya kiisilamu isingekuwepo,dunia ingekuwa salama sana
Mtu ana malaria 2 bado mnamsikilizaEnyi watu! Kwa hakika tumekuumbeni (nyote) kwa (yule) mwanaume (mmoja, Adamu) na yule yule) mwanamke (mmoja Hawaa). Na tumekufanyeni mataifa na makabila (mbalimbali) ili mjuane (tu basi, siyo mkejeliane). Hakika aheshimiwaye sana miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule ambaye mcha Mungu zaidi katika nyinyi. Kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari (za mambo yote)". (49:13).
Kumbe Mwenyezi Mungu baada ya kutuumba kutokana na nafsi moja, bado alitugawa katika mataifa na makabila tofauti tofauti, lakini si kwa lingine bali ili tuweze kujuana.
Hebu na turejee katika Hadithi ya Mtume (s.a.w.) iliyosimuliwa na Abi Nadhrah, kwamba alimsimulia mtu aliyesikia khutuba ya Mtume (s.a.w.) aliyoitoa katikati ya siku za Tashriq akisema:
"Sikilizeni, hakika Mola wenu ni mmoja na hakika baba yenu ni mmoja. Hakuna ubora kwa Mwarabu kwa asiyekuwa Mwarabu wala hakuna ubora wa mwekundu kwa mweusi wala mweusi ju ya mwekundu. Isipokuwa kwa kumcha Mwenyezi Mungu
UNAYO HOJA NYENGINE?
Angalia hoja. Kuna watu wanaitwa mavi lkn hoja zao zinamashikoMtu ana malaria 2 bado mnamsikiliza