Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Huyo paka ni wa kwake jamaa, paka humpanda hivyo mtu ambae ni mmiliki wake,
 
Inaonekana wakristo na wapagani wakipotea duniani huyu kiumbe mzuri nguruwe atatoweka kama dinosaur[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

ila jamaa kanichekesha
 
Hakuna kitu kama hicho Mungu hawezi weka dini nyingi mpaka zinazo mpinga, dini nyingine sio za Mungu
 
Oooh
 
Hakuna kitu kama hicho Mungu hawezi weka dini nyingi mpaka zinazo mpinga, dini nyingine sio za Mungu


Unajua kiswahili??!!, nimesema; "Dini zote zilizotoka kwa Mungu" na wala sijasema "kwamba dini zote zimetoka kwa Mungu". Kwa maana hiyo zipo dini zilizotoka kwa Mungu pia zipo dini zisizotoka kwa Mungu, dini zilizotoka kwa Mungu zinadumu kwa muda mrefu na zile zisizotoka kwa Mungu hufa kwa muda mfupi sana, mfano dini zilizotoka kwa Mungu ni Hindu 4000 yrs old, Budha 2500 yrs old, Judaism 4000 yrs old, Christianity 2000 yrs ago, Islam 1400 yrs old, Taoism, Shinto nk.
 
Herbalist Dr MziziMkavu katika tamaduni za Kiiislam je Paka siyo najisi kama alivyo mbwa? Je kuna mnyama mwingine anaruhusiwa kuingia msikitini?
Tumezoea sana kumuona paka akiingia msikitini na jamii ya ndege kuingia msikitini ni njiwa lakini kwamfano hata kama sungura angelikuwa anaingia msikitini pia sio najisi. Mbwa ,mbuzi , kondoo na wanyama wengine hawatakiwi kuingia msikitini. Ila kwa kuchinjwa unaweza kumleta mbuzi au ng'ombe au kondoo kwa ajili ya kumchinja lakini mbwa hatakiwi aingie ndani ya msikiti.
 
Paka na huyo Imamu huwa wanakutana kwenye Banda la kitimoto
 
Nauliza tu yule paka kumlamba Sheikh sio najisi?
 


Huyo paka hapo anafanya nini??
 
Mmekupenda bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…