Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Huyo paka ni wa kwake jamaa, paka humpanda hivyo mtu ambae ni mmiliki wake,
 
Inaonekana wakristo na wapagani wakipotea duniani huyu kiumbe mzuri nguruwe atatoweka kama dinosaur[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila nyama ya Nguruwe [emoji241] ukiwa njaa ya kufa kwa mujibu wa Mtume Mohammed S.W.W kwamba Mnyaazi Mungu Subhana wa Tahara ameruhusu ili usife km ipo Nguruwe Basi kula funyango 3/4/5 ili usife na upate kuishi

Sasa je! Mwislamu Kumla Nguruwe [emoji241] pindi una njaa ya kufa inaswihi na anakua sio najisi Ila kuguswa nae wakati umeshiba ni najisi na ni haramu ?

ila jamaa kanichekesha
 
Dini zote zilizotoka kwa Mungu wa kweli msingi wa mafundisho yao ni Tauhiid na mambo mengine ni manners na good morals, kuhusu vyakula vipo kwenye manners hivyo sio ajabu kukuta chakula kimoja kiwe taboo katika dini zote kutoka kwa Mungu huyo huyo, juu yote kabla ya uisilamu dini zilikuwa kwa makabila maalumu na kwa muda fulani tu.

Hata kama tufanye zilikopi, je kukopi jambo jema ni dhambi?

Mungu wa Vedas, wa Qur'an wa Taurati, Injili na Qur'an ni huyo Mungu mmoja aliyewatuma kwa nyakati tofauti Krishna, Musa, Isa, na hatimaye Muhammad (saw).

Taboo kutoka kwa Mungu ni better than taboo za kisayansi kwani Sayansi ni elimu ya kujua mazingira yanayotuzunguka, mazingira hayo kayaumba Mungu na nguruwe naye kaumbwa na huyo huyo Mungu ambaye kasema tusimle, dini ni elimu ya kujua maneno ya Mungu basi Maneno ya Mungu yana nguvu sana kuliko sayansi na Sayansi ipo kutilia nguvu Maneno ya Mungu licha ya wakati fulani science proves failure.

Go and check; the pork eating and its association with homosexuality, how pork affects human genes etc.
Hakuna kitu kama hicho Mungu hawezi weka dini nyingi mpaka zinazo mpinga, dini nyingine sio za Mungu
 
View attachment 2586863

Imamu aliyeteka vichwa vya habari mitandaoni siku za hivi karibuni kupitia video fupi iliyosambaa ikimuonyesha akirukiwa na paka mabegani wakati akiwa anaswalisha swala ya Taraweeh ametunukiwa tuzo.

Tukio hilo ambalo liliibua hisia za watu mbalimbali baada ya kumuonesha Imam huyo kutoonyesha kutetereka na kutomfukuza paka huyo wala kukatisha swala hiyo ambayo huswaliwa kila siku usiku katika mwezi mzima wa Ramadhan.

Kwa mujibu wa tovuti ya Breaking latest News Imamu huyo aliyetajwa kwa jina la Walid Mahsas kutoka nchini Algeria ametunukiwa tuzo na Ofisi ya masuala ya dini iliyo chini ya serikali ya nchi hiyo kwa kuonyesha kwake taswira ya kwamba uislamu pia unazingatia huruma na upendo kwa wanyama.

Chanzo: Mwananchi

Oooh
 
Hakuna kitu kama hicho Mungu hawezi weka dini nyingi mpaka zinazo mpinga, dini nyingine sio za Mungu

Unajua kiswahili??!!, nimesema; "Dini zote zilizotoka kwa Mungu" na wala sijasema "kwamba dini zote zimetoka kwa Mungu". Kwa maana hiyo zipo dini zilizotoka kwa Mungu pia zipo dini zisizotoka kwa Mungu, dini zilizotoka kwa Mungu zinadumu kwa muda mrefu na zile zisizotoka kwa Mungu hufa kwa muda mfupi sana, mfano dini zilizotoka kwa Mungu ni Hindu 4000 yrs old, Budha 2500 yrs old, Judaism 4000 yrs old, Christianity 2000 yrs ago, Islam 1400 yrs old, Taoism, Shinto nk.
 
Herbalist Dr MziziMkavu katika tamaduni za Kiiislam je Paka siyo najisi kama alivyo mbwa? Je kuna mnyama mwingine anaruhusiwa kuingia msikitini?
Tumezoea sana kumuona paka akiingia msikitini na jamii ya ndege kuingia msikitini ni njiwa lakini kwamfano hata kama sungura angelikuwa anaingia msikitini pia sio najisi. Mbwa ,mbuzi , kondoo na wanyama wengine hawatakiwi kuingia msikitini. Ila kwa kuchinjwa unaweza kumleta mbuzi au ng'ombe au kondoo kwa ajili ya kumchinja lakini mbwa hatakiwi aingie ndani ya msikiti.
PAKA WA AJABU AINGIA MSIKITINI KUSWALI. Kila akifukuzwa anarudi ndani ya msikiti kutaka na yey...jpg
 
View attachment 2586863

Imamu aliyeteka vichwa vya habari mitandaoni siku za hivi karibuni kupitia video fupi iliyosambaa ikimuonyesha akirukiwa na paka mabegani wakati akiwa anaswalisha swala ya Taraweeh ametunukiwa tuzo.

Tukio hilo ambalo liliibua hisia za watu mbalimbali baada ya kumuonesha Imam huyo kutoonyesha kutetereka na kutomfukuza paka huyo wala kukatisha swala hiyo ambayo huswaliwa kila siku usiku katika mwezi mzima wa Ramadhan.

Kwa mujibu wa tovuti ya Breaking latest News Imamu huyo aliyetajwa kwa jina la Walid Mahsas kutoka nchini Algeria ametunukiwa tuzo na Ofisi ya masuala ya dini iliyo chini ya serikali ya nchi hiyo kwa kuonyesha kwake taswira ya kwamba uislamu pia unazingatia huruma na upendo kwa wanyama.

Chanzo: Mwananchi

View attachment 2589329

Paka na huyo Imamu huwa wanakutana kwenye Banda la kitimoto
 
Hapo muujiza uko wapi?
Ukiletewa videos zaidi za Paka au Watoto wakidandia watu wakiwa kwenye sala si utabaki mdomo wazi,

Kilichowafurahisha watu wote duniani ni Paka kuingia msikitini (tunajua huyo mnyama ni mdadisi) na kwenda kumdandia Imam, kilichofurahisha zaidi ni Imam kutokua distract na Paka yule zaidi akamshikilia vizuri hadi Paka akakaa kwenye bega lake, akamlamba uso, akamlamba mdomo (tunasema a kiss from Cat) kisha huyoooo akateremka akaenda zake,

It's all about humanity, usiwe cruel kwa Wanyama pia ujue Paka hua hamfati mwenye roho mbaya na katili hata siku moja.
Nauliza tu yule paka kumlamba Sheikh sio najisi?
 
Tumezoea sana kumuona paka akiingia msikitini na jamii ya ndege kuingia msikitini ni njiwa lakini kwamfano hata kama sungura angelikuwa anaingia msikitini pia sio najisi. Mbwa ,mbuzi , kondoo na wanyama wengine hawatakiwi kuingia msikitini. Ila kwa kuchinjwa unaweza kumleta mbuzi au ng'ombe au kondoo kwa ajili ya kumchinja lakini mbwa hatakiwi aingie ndani ya msikiti.
View attachment 2589328

Huyo paka hapo anafanya nini??
 
Asingeitwa Kafiri sababu huyo Nguruwe angekua kamfata yeye na sio kama yeye ndie kamleta Nguruwe na kumuweka begani,

Zaidi angekatisha salaa mwingine angeendeleza na yeye angemtoa nje Nguruwe na kwenda kuoga na kubadili nguo sababu Nguruwe ni najisi kwa Imani yake, na sio tu Nguruwe hata angekua Mbwa bado ni najisi kwake ila Paka sio najisi.
Mmekupenda bure
 
Back
Top Bottom