| Nafasi | Nchi | Idadi ya Waislamu (takriban) | Asilimia ya Waislamu katika nchi |
| 1 | Indonesia | 230-240 milioni | 87-88% |
| 2 | Pakistan | 220-240 milioni | 96-97% |
| 3 | India | 200-210 milioni | 14-15% (Minority group) |
| 4 | Bangladesh | 160-165 milioni | 90-91% |
| 5 | Nigeria | 100-105 milioni | 50% (karibu) |
| 6 | Egypt | 90-95 milioni | 90%+ |
| 7 | Iran | 80-85 milioni | 99% |
| 8 | Turkey | 80 milioni | 98% |
| 9 | Algeria | 40-45 milioni | 99% |
| 10 | Morocco | 35-40 milioni | 99% |
| 11 | Iraq | 35-40 milioni | 95% |
| 12 | Afghanistan | 32-35 milioni | 99%+ |
| 13 | Sudan | 30-35 milioni | 97% |
| 14 | Saudi Arabia | 30-35 milioni | 100% |
| 15 | Malaysia | 20-21 milioni | 60-63% |
Ukisikia ujinga wa kujitakia ndiyo huu.Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa .
View attachment 3447408
Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani
USSR
,umeambiwa nchi Ina watu 88% ni waislam means hii ni sheria inayocover Hiyo 88%Huo ni mwanzo wa kuanguka serikali inayokumbatia dini hiyo ya kishenzi. Huwezi kulazimisha watu wasali kuabudu dini wasiyoiamini
Unaruhusiwa na Allah kudanganya inaitwa takiya,
Dunia nzima hakuna mUISLAM yyote ambaye anaweza akaulizwa Kama ni Muislam kisha ajibu HAPANA,