Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Akampereka ,hanakwahana ndo takataka gani..?Nieleweshe tuu vzr boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akampereka ,hanakwahana ndo takataka gani..?Nieleweshe tuu vzr boss
Si atakuja na tuhuma kubwa zaidi. Huyo hafai kusaidiwa katu.Maskini anasaidiwa Kaz na sio misos mpe mama yake kaz hata kufua ....
Umefanya wema wameukataa. Huna kosa wala usijilaumu hastahili wema wako huyo mama.Kuna mtoto wa jirani mtaa wa pili kamezoea kila nikipita kakiniona lazima kanipungie,japo hajawai kuniona hanakwahana basi tu ivo kakiona gari kanaikimbilia na kuipungia. Sasa leo nimepita kwa mguu nilivokaona nikakaita, nikamuuliza jina na ufaham wa hapa na pale. Lkn kakaniomba ela kakadai kana njaa hawajala,mama yao kaenda kwenye kibaruani(ni mtoto km miaka minne ivi).
Basi nikamuita mkubwa wake ambae ana umri km miaka 8,9 ivi nikaenda nako dukani nikamuemelea mchele, sukari, mafuta, chumvi, na mahitaji muhimu ya kula. Nikampandisha kwenye boda ninaemfahamu na kunifahamu akampereka nyumbani.
Nashangaa boda huyo ananipigia simu eti kamkuta mamake mtoto karudi yuko nyumbani, amekataa kupokea huo mzigo eti siku izi watu wanachukua nyota za watu kupitia misaada izo, kanamwambia boda arudi navyo. Kwaio ananihisi huo msaada wangu una lengo lake.
Kwa mazingira ya hiyo familia na hivyo huyo mtoto alivyonambia ana njaa ndo ikanishawishi nimsaidie na ni kweli alionekana ana njaa,na niliplan kumfanyia mengine zaidi. Na si kwamba mamake hanifahamu...ananifahamu. Kwanini maskini ukimpa kitu cha bure anahisi ni mtego na ukimwambie akilipie anaona ni gharama au unataka umuibie!? Nimelishangaa sana hili.
Ni kweli bossUmefanya jambo zuri Sana
Ila usipende Sana kuwasaidia masikini
Kwanini nasema hivi
Masikini ambaye unabidi umsaidie awe ni yule ambaye kutafuta riziki Mlemavu ,mgonjwa n.k
Maana hawa masikini wa akili wanatabia mbaya na wanaweza kukuua na kukupoteza na kukuletea kesi .
Kuna Dada nilimsaidia nikampa chakula na nikamnunulia kinywaji
Nilifanya hivi baada ya kumuona ananyonuesha so alikuwa hajala nikampa chakula na kinywaji
Ila nilipata taarifa zake baada ya kumsaidia zlikuwa negative
Wewe umefanya vizuri kujitoa kwa mtoto Ila mama mtoto amefirikia wewe mchawi , haufai n.k.
So kutoa ni jambo zuri Ila walenge wahitaji wa kweli nenda hata magerezani uwapelekee sabuni nenda vituo vya watoto yatima
nimejifunza kitu lkn
Na bora ukose vyote
Ila uwe na good mindset
Du sijahiona hio🤣🤣Hanakwahana
Ipo kubwani matumizi ya kiswahili mkuu, sidhani km kuna shida kuhusu hilo.