Imani potofu huchangia sana umaskini

Umefanya wema wameukataa. Huna kosa wala usijilaumu hastahili wema wako huyo mama.
 
Mkuu, twen'zetu Morocco tupeleke mbuzi. 😎

-Kaveli-
 
Wakati huo huo utamkuta huyo maza kwenye foleni ya neti za mgao from American people.

Wabongo nuksi sana. 😎

Hauna baya mkuu. Live.

-Kaveli-
 
Umefanya jambo zuri Sana

Ila usipende Sana kuwasaidia masikini

Kwanini nasema hivi

Masikini ambaye unabidi umsaidie awe ni yule ambaye hawezi kutafuta riziki Mlemavu ,mgonjwa n.k

Maana hawa masikini wa akili wanatabia mbaya na wanaweza kukuua na kukupoteza na kukuletea kesi .


Kuna Dada nilimsaidia nikampa chakula na nikamnunulia kinywaji

Nilifanya hivi baada ya kumuona ananyonuesha so alikuwa hajala nikampa chakula na kinywaji

Ila nilipata taarifa zake baada ya kumsaidia zlikuwa negative


Wewe umefanya vizuri kujitoa kwa mtoto Ila mama mtoto amefirikia wewe mchawi , haufai n.k.

So kutoa ni jambo zuri Ila walenge wahitaji wa kweli nenda hata magerezani uwapelekee sabuni nenda vituo vya watoto yatima
 
Ni kweli boss
 
Wakati huo huo utamkuta huyo maza kwenye foleni ya neti za mgao from American people.

Wabongo nuksi sana. 😎

Hauna baya mkuu. Live.

-Kaveli-
nimejifunza kitu lkn
 
Na bora ukose vyote

Ila uwe na good mindset


Bora ukawa hauna hela Ila usiwe na fixed mindset

Maana nimeona familia Fulani wanamwaga sukari kilo 50 shimoni kisa aliyewapa huo msaada wanahisi ni mtego

Ukiwa masikini wa akili you can't move anywhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…