Imani potofu huchangia sana umaskini

Umekosea kufanya mambo makubwa na watoto.

Umekosea kuingilia mambo ya nyumba ya watu. Hapo huyo mama kamanangekuwa na mumewe au bwana wake ungeweza kupewa kesi ya kuingukia unyumba wa watu.
 
Mi naona wewe pia una imani za kishirijina. Kwa nini usimpatie fedha akanunue hitajio lake?

Huyo mama anajitambua sana. Umasukini wake haumfanyi apokee kila kitu bila kuhoji dhamira. Kuwa na shida usipoteza uhuru wako.

Huyo mama anajitambua sana. Kama ulikuwa na nia njema ungewasiliana na yeye kwanza


Lakini pia kwanni umlazimishe mtu akuamini kwa lazima?
Kwa dunia ya sasa nani atamwanini mwenzake.

Katoto kila siku kanakupungia mkono, leo umeamua kutembea kwa mguu ili usishtukiwe na jamii na ukaanza kukahoji bila ridhaa ya mzazi wake na kuamua kutatua changamoto zake bila kuwasiliana na mzazi wake , huoni kuwa unjitengenezea mazingira ya kuja kukalawiti hako katoto?

Hayo uliyofanya, chukulia yanafanywa kwako na kwa watoto wako
 
Mkuu ratizo la vijana show off na mbwembwe vinawaharibu. Wanakosa akili ya kujiongeza.

Ukitaka kumsaidia mtu hata kama ni maskini kwanza linda dhamani ya utu wake ili usimkwaze kwa msaada wako.

Usifanya kama bingo move unamsaidia mtu chupi unaenda na makamera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…