Imani, Upendo, Miujiza: Kutawala Dar leo

Juma maharage nakuona

Bado hujaenda?
 
Hii nchi ya ajabu Sana ,baada ya hayo matukio sjui ya kongamano , hyo pollution ya makaratasi ya matangazo Nani ataitoa na kuyabandua , ??
 
Muwaite na watu wa chanjo mpate chanjo ni bure.
 
Uta sikia serikari ina peleka chanjo karbu na uo mkusanyiko
 
Uta sikia serikari ina peleka chanjo karbu na uo mkusanyiko
Ndio mpango mzima; unatoka kutoa sadaka unapitia kuchanjwa, unatoka kuokoka unapitia kuchanjwa, ukidondoka mapepo tunakuombea tunakuchanja..
 
Upendo ndio nguzo yetu
 
Hii nchi ya ajabu Sana ,baada ya hayo matukio sjui ya kongamano , hyo pollution ya makaratasi ya matangazo Nani ataitoa na kuyabandua , ??
Mvua itanyesha yote yatabanduka,usijitie mawazoni bure
 
Leo ndio Ile siku ya kutawanya Imani, Upendo na Miujiza jijini Dar. Karibuni Sana Kawe, Mbagala, Gongo la Mboto na Kimara. Hatumwi mtoto dukani leo.

Hamna miujiza yeyote huko mkuu tuache ujinga wa kuamini watu wa nje. Omba Mungu tu atakusaidia si mpaka ufuate Wazungu ndipo Mungu atakusikia, tuache imani hii ya kijinga. Wazungu hawa hawa hawafanyi hivi huko kwao ila wakitaka hela za haraka haraka ndipo wanakuja hapa Afrika kudanganya wananchi na kuwachota akili. I promise you this, nenda hapo kaombe anything kwa Mungu uone kama atakupa....there's nothing therer zaidi ya kupoteza tu muda na kuchotwa akili. #WaafrikaTuamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…