Ni suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance
Huenda mwakaa huu TZ tukafanya
Mageuzi ya mpira; Yanga ataweza kumtoa hata mamelody .
Nina iman kubwa kuwa Yanga anakwenda nusu fainal.
Common things like occur commonly; SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
AminNi suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance
Huenda mwakaa huu TZ tukafanya
Mageuzi ya mpira; Yanga ataweza kumtoa hata mamelody .
Nina iman kubwa kuwa Yanga anakwenda nusu fainal.
Common things like occur commonly; SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
Nakubaliana na wa wewe kwa jambo moja tu; jamaa wale wana experience kubwa sana ya kufa kiume ndani ya robo fainali, na mwaka huu watakufa kiume tena.Ni suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance
Huenda mwakaa huu TZ tukafanya
Mageuzi ya mpira; Yanga ataweza kumtoa hata mamelody .
Nina iman kubwa kuwa Yanga anakwenda nusu fainal.
Common things like occur commonly; SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
Usitukane mamba kabla hujavuka mto, iombee Uto yako isonge mbele Ila ukiitukana Simba maana yake bado u mtoto katika soka, usijaribu kuifananisha NBCPL na CAFCL eti kwa sababu mnechungulia huko.SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
Sio kwamba atakuwa amepona!?nje ya hapo Sure boy atateseka ngoja tuone game hizi mfululizo labda zitamjengaYanga imekutana na mkosi kama ule wa msimu uliopita kwenye fainali ya shirikisho. Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga katika hatua ya robo fainali. Hilo pigo zito sana kwa Yanga. Aucho ndio injini ya Yanga
Sio rahisi, ratiba ya mechi ya kwanza ya hatua ya robo fainali itachezwa mwezi huu wa tatu kati ya tarehe 29 hadi 31. Ni ngumu sana kuwa fit kuchezaSio kwamba atakuwa amepona!?nje ya hapo Sure boy atateseka ngoja tuone game hizi mfululizo labda zitamjenga
ni kuiombea Mungu,nusu fainali ni ngumu sanaNi suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance
Huenda mwakaa huu TZ tukafanya. Mageuzi ya mpira; Yanga ataweza kumtoa hata mamelody .
Nina iman kubwa kuwa Yanga anakwenda nusu fainal.
Common things like occur commonly; SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
Mpira ni uwanjaniYanga ilitakiwa aongoze kundi halafu draw ¼final iwe Simba yanga ili iwe rahisi kwa simba kucheza nusu fainali
Simba walikosea sana kutoongoza lile kundi, game ya Asec nyumbani tulistahili point 3, hata ya Galaxy away tulistahili pointi 3, ule uzembe wetu ndio unaweza kwenda kutuumiza sisi na kuwanufaisha utopoloKwa mamelodi sidhani mtafanya kazi ya ziada, wapinzani ambao kidogo watawapa changamoto ni mamelodi na petro atletico. Ila mkimpata asec mimosas kuna asilimia kubwa zaidi ya kutinga nusu kuliko hao wengine, sisemi haiwezekani kuwatoa hao petro na mamelodi ila ni ngumu zaidi kuliko asec.
Ukweli uko wazi kabisa kuwa GONGOWAZI mna timu nzuri saana, mkijikaza na kupambana vizuri huenda mkafika nusu na nyie kama mnyama alivyofika mwaka 74.
Muwe na shukrani, Simba hii haikustahili ata kucheza robo. Ni mbovu kupita maelezo inabebwa na mambo ya nje ya uwanja kuliko uhalisia.Simba walikosea sana kutoongoza lile kundi, game ya Asec nyumbani tulistahili point 3, hata ya Galaxy away tulistahili pointi 3, ule uzembe wetu ndio unaweza kwenda kutuumiza sisi na kuwanufaisha utopolo
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Na iwe hvo, kwa hz timu zetu mbili tuna probability kubwa mmoja wapo kusogea hatua ya mbele zaid.
Simba walikosea sana kutoongoza lile kundi, game ya Asec nyumbani tulistahili point 3, hata ya Galaxy away tulistahili pointi 3, ule uzembe wetu ndio unaweza kwenda kutuumiza sisi na kuwanufaisha utopolo
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa mamelodi sidhani mtafanya kazi ya ziada, wapinzani ambao kidogo watawapa changamoto ni mamelodi na petro atletico. Ila mkimpata asec mimosas kuna asilimia kubwa zaidi ya kutinga nusu kuliko hao wengine, sisemi haiwezekani kuwatoa hao petro na mamelodi ila ni ngumu zaidi kuliko asec.
Ukweli uko wazi kabisa kuwa GONGOWAZI mna timu nzuri saana, mkijikaza na kupambana vizuri huenda mkafika nusu na nyie kama mnyama alivyofika mwaka 74.