Imani yangu ni kuwa Yanga Atacheza nusu fainail, wale wengine watakufa kiume

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Ni suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance

Huenda mwakaa huu TZ tukafanya. Mageuzi ya mpira; Yanga ataweza kumtoa hata mamelody .

Nina iman kubwa kuwa Yanga anakwenda nusu fainal.

Common things occur commonly; SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
 
Yanga ilitakiwa aongoze kundi halafu draw ¼final iwe Simba yanga ili iwe rahisi kwa simba kucheza nusu fainali
Ni suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance

Huenda mwakaa huu TZ tukafanya
Mageuzi ya mpira; Yanga ataweza kumtoa hata mamelody .

Nina iman kubwa kuwa Yanga anakwenda nusu fainal.

Common things like occur commonly; SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
 
Amin
 
Nakubaliana na wa wewe kwa jambo moja tu; jamaa wale wana experience kubwa sana ya kufa kiume ndani ya robo fainali, na mwaka huu watakufa kiume tena.
 
SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
Usitukane mamba kabla hujavuka mto, iombee Uto yako isonge mbele Ila ukiitukana Simba maana yake bado u mtoto katika soka, usijaribu kuifananisha NBCPL na CAFCL eti kwa sababu mnechungulia huko.

Hakunaga porojo za kibonge bongo huko.

Bado Simba ni bosi wenu huko na ndio maana hamuachi kumtaja bosi wenu 🐸🐸wahed weye
 
Yanga imekutana na mkosi kama ule wa msimu uliopita kwenye fainali ya shirikisho. Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga katika hatua ya robo fainali. Hilo pigo zito sana kwa Yanga. Aucho ndio injini ya Yanga
 
Sio kwamba atakuwa amepona!?nje ya hapo Sure boy atateseka ngoja tuone game hizi mfululizo labda zitamjenga
 
Sio rahisi, ratiba ya mechi ya kwanza ya hatua ya robo fainali itachezwa mwezi huu wa tatu kati ya tarehe 29 hadi 31. Ni ngumu sana kuwa fit kucheza
 
Kwa mamelodi sidhani mtafanya kazi ya ziada, wapinzani ambao kidogo watawapa changamoto ni mamelodi na petro atletico. Ila mkimpata asec mimosas kuna asilimia kubwa zaidi ya kutinga nusu kuliko hao wengine, sisemi haiwezekani kuwatoa hao petro na mamelodi ila ni ngumu zaidi kuliko asec.
Ukweli uko wazi kabisa kuwa GONGOWAZI mna timu nzuri saana, mkijikaza na kupambana vizuri huenda mkafika nusu na nyie kama mnyama alivyofika mwaka 74.
 
Ni suala la Muda, ila yanga anakitu inaitwa Consistency, muhimu sana kwenye mustakabali wa soka. Hili kombe ameshalichukua in advance

Huenda mwakaa huu TZ tukafanya. Mageuzi ya mpira; Yanga ataweza kumtoa hata mamelody .

Nina iman kubwa kuwa Yanga anakwenda nusu fainal.

Common things like occur commonly; SIMBA haiendi kokote badala yake itakufa kiume
ni kuiombea Mungu,nusu fainali ni ngumu sana
 
Kwa mamelodi sidhani mtafanya kazi ya ziada, wapinzani ambao kidogo watawapa changamoto ni mamelodi na petro atletico. Ila mkimpata asec mimosas kuna asilimia kubwa zaidi ya kutinga nusu kuliko hao wengine, sisemi haiwezekani kuwatoa hao petro na mamelodi ila ni ngumu zaidi kuliko asec.
Ukweli uko wazi kabisa kuwa GONGOWAZI mna timu nzuri saana, mkijikaza na kupambana vizuri huenda mkafika nusu na nyie kama mnyama alivyofika mwaka 74.
Simba walikosea sana kutoongoza lile kundi, game ya Asec nyumbani tulistahili point 3, hata ya Galaxy away tulistahili pointi 3, ule uzembe wetu ndio unaweza kwenda kutuumiza sisi na kuwanufaisha utopolo

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Muwe na shukrani, Simba hii haikustahili ata kucheza robo. Ni mbovu kupita maelezo inabebwa na mambo ya nje ya uwanja kuliko uhalisia.
 
Na iwe hvo, kwa hz timu zetu mbili tuna probability kubwa mmoja wapo kusogea hatua ya mbele zaid.

Probability kubwa ni Yanga

There is no way SSC apite robo. Huwa wnaakufa kiume

Pia huwezi kutatua tatizo kwa kutumia watu wale wale ; wachezaji walioshindwa kuipeleka SSC mbele ndio wale wale waliopo….. ni kama wana ka comfort zone Kao fulan hivi

Pia unaposajili, kama unamuacha baleke basi unatakiwa kuchukua mchezaji bora ya baleke na sio kuchukuwa sawa na baleke au chini ya baleke

Sasa ni usajili gani SSC kafanya ambao utawezA kumvusha robo

Kama SSC atacheza nusu fainal basi itakuwa nusu fainal ya kombe la Azam na sio CAF

POOR QUALITY
 
Kwa mamelodi sidhani mtafanya kazi ya ziada, wapinzani ambao kidogo watawapa changamoto ni mamelodi na petro atletico. Ila mkimpata asec mimosas kuna asilimia kubwa zaidi ya kutinga nusu kuliko hao wengine, sisemi haiwezekani kuwatoa hao petro na mamelodi ila ni ngumu zaidi kuliko asec.
Ukweli uko wazi kabisa kuwa GONGOWAZI mna timu nzuri saana, mkijikaza na kupambana vizuri huenda mkafika nusu na nyie kama mnyama alivyofika mwaka 74.

Ulikuwa hata umezaliwa

Yanga haina mambo ya changamoto

Hata akija Alhalyatapata anachostahili

Way to
Final hatuna mpiraa wa mitandao tunataka kwa pitch
 
Back
Top Bottom