Imani Yetu Kuhusu Uwepo wa Mungu Inakiuka Uwezo Wetu wa Kufikiri Katika Kupatia!!!

Chige

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2008
Posts
13,495
Reaction score
29,872
ANGALIZO: Kama suala la Mungu ni suala lisilopaswa kuhojiwa, basi mada hii haikufai!!

Ukweli mchungu ni kwamba, dunia imejaza watu ambao uwezo wetu wa kufikiri upo below the average! Kutokana na ukweli huo, mara nyingi kama sio zote, upande wa wengi unakuwa ndio upande wa losers na wachache wanakuwa ndio wamepatia!!

Haijalishi ni wapi! Hata Marekani, majority ni wale walio below the average kwa kuzingatia viwango vya Marekani na kwahiyo wao ndio losers katika nyanja husika!

Ukienda Korea ya Kusini au popote pale, nako ni hivyo hivyo… watu wengi wanakuwa ndio below the average na kwa maana nyingine wanakuwa kwenye losing side na wachache ndio wanaokuwa wamepatia!

Dunia ina rundo la maskini (losers) ukilinganisha na matajiri (waliopatia)!

Rudi darasani wakati ulipokuwa mwanafunzi! Majority ni wale waliokuwa kwenye losing side! Kama ni average school, Div I & II ni chache (waliopatia) lakini itajaza losers wa Div IV! Hata hizo Div I, Div I kali (waliopatia) zitakuwa ni chache ukilinganisha na Div I za mafungu (losers among Div I's)!

Hata kwa best schools kama Mzumbe, Ilborou, Tabora Boys/Girls, Feza, Marian n.k; majority wanakuwa kwenye losing side kwa viwango vya shule hizo! Kama ni Form VI, Div I Point III & IV (waliopatia) utapata chache huku shule zikijaza Div I za kawaida (losers)!

Hata ukienda Harvard, MIT n.k; kote huko hali ndo hivyo hivyo!!! Dunia imeshuhudia akina Newton wachache zaidi (waliopatia) ukilinganisha na akina sie! Imeshuhudia greatest philosophers wachache zaidi ukilinganisha na average philosophers!

Hata ukija kwenye Sanaa, kati ya mamilioni ya wasanii duniani, ni wachache tu ndio walio kwenye winning side lakini majority ni losers!

Tumia mfano mwingine wowote kwenye njanja yoyote hata ile ya kipuuzi kabisa kisha tujuzane wapi majority wamekuwa kwenye wining side!!!

Kinyume chake, source mbalimbali zinaonesha Waislamu, Wakristo na Wayahudi wanatengeneza zaidi ya 57% ya watu wote duniani.

Wote hao wanaamini katika Mungu… Mungu Mmoja!!

Inawezekana takwimu hizo zisiwe sahihi lakini ukweli usio na shaka ni kwamba, nchi kama Tanzania, Waislamu na Wakristo ndio wanaounda idadi kubwa ya watu kuliko wasioamini katika Mungu! Je, ni kwamba hapa ndipo tumepatia by exceptionalism?

Nenda Kenya, Afrika Kusini, Marekani na nchi kadhaa za Ulaya, Mashariki ya Kati na Amerika; kote huko idadi kubwa maradufu ya population ni Wakristo na Waislamu wanaoamini katika Mungu!

NOW, ikiwa ushahidi usio shaka unaonesha kwamba upande wa wengi ndio losing side; vipi katika hili la Mungu?!

How come kwenye jambo complex kama hili majority wawe ndio waliopatia?!

Je, inawezekana sote sisi tumepotea kwa sababu inadhihirika wazi kwamba, a larger subset kwenye nyanja mbalimbali ndiyo inakuwa haijapatia?!

c.c Malcom Lumumba, zitto junior, Mkuu Palantir, nimeona wito wako kwenye mada ya Michael Jackson na Cloning... just bad week, but naja!
 
Wote hatuwezi kuwa juu ama kuwa sawa.. lazima kuwe na tofauti..
 
Ata vidole kimoja Ndo kipo juu vingine vinne vipo chini....
 
Mungu hajidhihirishi bila jitihada binafsi

Na kielelezo cha hilo ni Kuhoji

Imani bila kuhoji ni upumbavu
 
ivi mnataka kuniambia kuwa mwili wa binaadamu na ubongo wake jinsi ulivyokuwa complex namna hii hauna dizaina? yani ilitokea tu kwa bahati mbaya?
 
huyo dizaina asiyehojiwa ndiye tatizo!.. kwanini asihojiwe?.
 
bible/Qur'an inasema amini tu usihoji chochote, ukihoji ni khufru!.
hahaaaa ujinga huu " tena waandishi wake ",wameviwekea "" defence mechanism" kwamba" haupaswi kubadili hata "herufi" moja" Hata Kama "unaambiwa "kuwa" jua,''huwa linachomoza" mashariki nakuzam magharibi"" wakati " kimsingi" tunafahamu" kwamba" juA "halitembei"" kazi kwel kweli
 
Back
Top Bottom