Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Kwanza habari za kujua mambo yote zimekujaje dogo?
Sawa Dogo kalale sasa.Fuatilia post zako mbili za nyuma ndio utagundua kosa lako lipi,
Unaongea kitu dakika 2 mbele unasahau this is Amnesia
And one of the psychotic disoder
"WA IBADU RAHMAN LLADHIYINA YAMSHUUNA ALLAL ARDHWI HAUNAUW WAIDHAA KHATWABA HUMUL JAHILUUNA QALUU SALAMA" Alfurqan
"Na waja wema wa RAHMAN mwingi wa rehema ni wale wanaotembea kwa staha na wajinga wakiwasemeza hujibu salama"
SALAMA
Sawa Dogo kalale sasa.
ANGALIZO: Kama suala la Mungu ni suala lisilopaswa kuhojiwa, basi mada hii haikufai!!
Ukweli mchungu ni kwamba, dunia imejaza watu ambao uwezo wetu wa kufikiri upo below the average! Kutokana na ukweli huo, mara nyingi kama sio zote, upande wa wengi unakuwa ndio upande wa losers na wachache wanakuwa ndio wamepatia!!
Haijalishi ni wapi! Hata Marekani, majority ni wale walio below the average kwa kuzingatia viwango vya Marekani na kwahiyo wao ndio losers katika nyanja husika!
Ukienda Korea ya Kusini au popote pale, nako ni hivyo hivyo… watu wengi wanakuwa ndio below the average na kwa maana nyingine wanakuwa kwenye losing side na wachache ndio wanaokuwa wamepatia!
Dunia ina rundo la maskini (losers) ukilinganisha na matajiri (waliopatia)!
Rudi darasani wakati ulipokuwa mwanafunzi! Majority ni wale waliokuwa kwenye losing side! Kama ni average school, Div I & II ni chache (waliopatia) lakini itajaza losers wa Div IV! Hata hizo Div I, Div I kali (waliopatia) zitakuwa ni chache ukilinganisha na Div I za mafungu (losers among Div I's)!
Hata kwa best schools kama Mzumbe, Ilborou, Tabora Boys/Girls, Feza, Marian n.k; majority wanakuwa kwenye losing side kwa viwango vya shule hizo! Kama ni Form VI, Div I Point III & IV (waliopatia) utapata chache huku shule zikijaza Div I za kawaida (losers)!
Hata ukienda Harvard, MIT n.k; kote huko hali ndo hivyo hivyo!!! Dunia imeshuhudia akina Newton wachache zaidi (waliopatia) ukilinganisha na akina sie! Imeshuhudia greatest philosophers wachache zaidi ukilinganisha na average philosophers!
Hata ukija kwenye Sanaa, kati ya mamilioni ya wasanii duniani, ni wachache tu ndio walio kwenye winning side lakini majority ni losers!
Tumia mfano mwingine wowote kwenye njanja yoyote hata ile ya kipuuzi kabisa kisha tujuzane wapi majority wamekuwa kwenye wining side!!!
Kinyume chake, source mbalimbali zinaonesha Waislamu, Wakristo na Wayahudi wanatengeneza zaidi ya 57% ya watu wote duniani.
Wote hao wanaamini katika Mungu… Mungu Mmoja!!
Inawezekana takwimu hizo zisiwe sahihi lakini ukweli usio na shaka ni kwamba, nchi kama Tanzania, Waislamu na Wakristo ndio wanaounda idadi kubwa ya watu kuliko wasioamini katika Mungu! Je, ni kwamba hapa ndipo tumepatia by exceptionalism?
Nenda Kenya, Afrika Kusini, Marekani na nchi kadhaa za Ulaya, Mashariki ya Kati na Amerika; kote huko idadi kubwa maradufu ya population ni Wakristo na Waislamu wanaoamini katika Mungu!
NOW, ikiwa ushahidi usio shaka unaonesha kwamba upande wa wengi ndio losing side; vipi katika hili la Mungu?!
How come kwenye jambo complex kama hili majority wawe ndio waliopatia?!
Je, inawezekana sote sisi tumepotea kwa sababu inadhihirika wazi kwamba, a larger subset kwenye nyanja mbalimbali ndiyo inakuwa haijapatia?!
c.c Malcom Lumumba, zitto junior, Mkuu Palantir, nimeona wito wako kwenye mada ya Michael Jackson na Cloning... just bad week, but naja!
Ukiwa fyatu kama akina sie unaweza kuhoji yale yanayosemwa ni matokeo ya Mungu! Na hata hao Waumini wanaosema suala la kuhoji, mnazungumzia "kumhoji" Mungu! Unamhoji Mungu kwa sababu tayari umeshaafiki uwepo wake na ndio maana unamhoji vinginevyo, usingemhoji!Tunapofanya reasoning huwa hatimaye tunakuja ku-draw conclusion kwa kutumia logic, maana yake katika hali ya kawaida binadamu muda wote huwa anatumia logical reasoning katika kila jambo maisha yake yote. Ndiyo maana ni rahisi kwa mtu mwenye akili timamu, kuweza kumgundua mtu mwingine ambaye hana akili timamu kwa sabau asiyekuwa na akili timamu hatumii logic muda wote, kiasi kwamba anweza akaona hata Lori la mizigo linakuja barabani, halafu yeye akaamua kukatiza barabara. Hata wewe hapo ulipo ikitokea kwa bahati mbaya ukafanya blunder, marafiki zako au office mates watakusuta na kukuambia maneno kama "unafanya kitu kama huna akili timamu". Ukikutana na maneno kama hayo ujue kuwa ulichofanya, logical reasoning haikutumika!
However, inapokuja issue ya Mungu, kunaibuka mambo mengi sana ambayo logical reasoning doesn't work any more. Inapofikia hatua hii hata Profesa anakuwa puzzled na ndiyo maana si kitu cha ajabu kumkuta ameenda kwa mganga wa kienyeji,ambaye possibly anaweza akawa hata hajui hata aeiou, wakati Profesa mwenyewe ana knowledge ya ajabu kichwani kwake. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba Mungu asilimia kubwa sana ana operate katika ulimwengu wa roho ambao BOTH LOGICAL AND ILLOGICAL REASONING apply! Juzi nilitoa mfano humu humu kuwa kule Ukara Mwanza kuna jiwe ambalo hata ukileta grader haiwezi kulitikisa, lakini lina uwezo wa kucheza kwa kutikiswa na kidole kimoja baada ya kuwa limeambiwa maneno. Hapa unaweza kuona kuwa katika reasoning ya kawaida, it was logical kwamba jiwe lile licheze baada ya kuwa limesukumwa na nguvu kubwa kama ya grader, na ILLOGICAL kucheza baada ya kuwa limesukumwa kwa ncha ya kidole na kuwa limesikia maneno kutoka kwa mtu. Na tangu lini jiwe likasikia sauti?,...., completely illogical
The thing is, we actually lack the required standards that would lead us to the accommodation of proper knowledge of the presence of God. Watu wengi sana wanakuwa wana kitu sahihi kuhusu Mungu lakini hawana tools za kuweza kukitetea kitu hicho, kwa hiyo ikitokea akapewa hoja ambayo ni challenging kuhusu Mungu, anakata sentensi moja tu anasema Mungu hahojiwi. Hapana, Mungu anahojiwa isipokuwa hatuna proper knowledge inayoweza kutufanya tukasimama kutetea hoja zetu sahihi kuhusu Mungu.
Finally, in the spritual realm, both the logical and illogical work. Nadhani hoja yako nitakuwa nimeigusa kidogo
Nini kinakufanya uamini Mungu unayemwamini wewe ndie Mungu wa kweli na yule anayeaminika na wengine awe Mungu wa makaratasi?!Uwepo wa Mungu uko pale pale, ila kuna nadharia ambazo zimesambazwa zinazofanya wengi wasijue uhalisia. Hivyo ni kweli kwamba majority ni wamepotoka kwa sababu mungu wanayemwamini sio huyo Mungu wa kweli.
Ukiwa fyatu kama akina sie unaweza kuhoji yale yanayosemwa ni matokeo ya Mungu! Na hata hao Waumini wanaosema suala la kuhoji, mnazungumzia "kumhoji" Mungu! Unamhoji Mungu kwa sababu tayari umeshaafiki uwepo wake na ndio maana unamhoji vinginevyo, usingemhoji!
Hoja yangu sio kumhoji Mungu bali kuhoji existence yake! Ni hii existence yake ndiyo imenifanya kuwa puzzled kwamba, how come jambo complex kama hili asilimia kubwa ya wanadamu wanasimama pamoja na kuafiki uwepo wake?!
Uzoefu unaonesha wengi huwa hawapatii... na ndio maana nikatoa mifano rahisi kabisa kuonesha ni namna gani kila palipo jambo basi wanaopatia ni wachache ukilinganisha na "losers!"
Ni huo Uanasayansi fake wako au huo Uanatelojia unaotarajia kuwa nao ndio uliokufundisha kuwa na lugha za hovyo?Mimi ni mwanasayansi na mwanateknolojia hapo baadae.
Mada nyingine ni za kijinga kweli!
Yaani ndo Mwanasayansi wewe?! Kwani kuna akili yoyote inayotumika katika kuamua kuwa shoga au msagaji?!Kwa hiyo kwa sababu mashoga na wasagaji ni wachache kuliko waliostraight inamaanisha wao wako sahihi????
Mada inahoji God's existence na kwahiyo huwezi kukidai kitu ambacho bado unahoji uwezekano wa uwepo wake! Yaani pamoja na kuwa Mwanasayansi bado unashindwa na simple logics kama hizi!!!Mnahoji Mungu, kila saa Mungu, kila siku Mungu, kwani mnamdai mini Huyo Mungu?
Sasa hoja yako inahusiana vipi na mada yangu?! Naona kama bado upo kule kule kuhusu yale "yanayosababishwa na Mungu" wakati mada inahoji uwezekano wa uwepo wake!Kama uhai ni kitu rahisi hivyo mbona kwa maendeleo ya sayansi na technology tulonayo hatujaweza kuumba hata jani tu achilia mbali sisimizi?
Mbona kwa maelezo yako hapo juu unaonekana mweupe sana!!!!Wewe kukosa uwezo wa kufikiri sawasawa usianze kumsingizia Mungu wala dini.
Simfahamu ila namsoma tu kama unavyomsoma wewe Mwanasayansi wetu!!!Hivi unamfahamu Sir Isaac Newton?
Illogical questions!! Kwahiyo reference yako kuhusu uwepo wa Mungu ni Isaac Newton sio?! A truly a wanna be scientist!Na unajua uwezo wake kiakili ulikuwaje?
Na unajua alikuwa anaamini mini kuhusu Mungu?
Na unajua kazi zake nyingi zilikuwa zinahusu nini?
Mr. Scientist, unaweza kunikumbusha ni sehemu ipo kwenye mada hii nimeongea masuala ya dini?!Ngoja nikwambie kitu, hata kutokuamini Mungu inaweza kuwa dini pia.
Mbona hueleweki?! How come unazungumzia hoja ya uwezekano wa imani ya kidini halafu hapo hapo tena unaunganishia hoja inayo-reject imani ya dini?Afrika kwa sehemu kubwa mpaka sasa watu hawaamini katika dini.
What is wengi?! Mimi nimekupa percentage... how come mtu unayejigamba eti Mwanasayansi unaishia kusema "wengi!"?Angalia wasukuma wengi hawajui Kanisa wala Msikiti, haya uwezo wao kiakili ukoje?
Hivi wewe ni Mwanasayansi au ni Mwana Sayansikimu?! Mbona unashindwa kuelewa mantiki ndogo kama hii?!Tuache upuuzi wa kumhoji Mungu tukijiona ndio tuna Miakili Mingiiiii kumbe ni majinga tu!
Hapana... sijazungumzia kabisa suala la dini! Ukirejea post yako ya kwanza kwangu, umenielewa vizuri sana na umeeleza vizuri sana!!!Kama nilikuewewa vizuri, ulisema hauna shaka na uwepo wa Mungu isipokuwa una shida na uwepo wa dini, niko sahihi?
Ni ngumu kukubaliana kwa sababu hakuna ushahidi au uthibitisho convincing.Dhana unayoitumia wewe ni argument of first cause na design ambazo zote ni mfu.
Ukisema binadamu ni complex lazima awe na designer, then hata Mungu lazima naye atatakiwa awe na designer.
Je aliyemdesign Mungu ni nani?
HAKIKA.
MFANO;
Unapolala kila siku unaelewa ni kipi kinachokufanya ulale(catalyst)?
Unalalaga saa ngapi na ni kipi kinachokuamsha?
Ndoto unazootaga ni nani anazianzisha ukiwa usingizini kila siku?
Na kwanini huyo anayekuanzishia hizo ndoto zipo zitazotafsirika na zingine hazitatafsirika, je kwanini akupangie masharti kwa namna ya hizo ndoto zitakavyokujia?
So upeo wetu Binadamu ni 0% kwa aliyetupatia pumzi/uhai, sema tu sababu "kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani" ndiyomaana unakutana na mbegu zisizojielewa kama akina hawa waleta mada.
Maana tunajiuliza vitu ambavyo hata tukipewa miaka 1000 ya kuvifanyia utafiti, bado hatutaweza kuvipatia ufumbuzi, maana yeye aliyetuumba tayari alishatuwekea ukomo wa ufahamu wetu kwa vile ambavyo hatupaswi kuvifahamu.
"ETC" END OF THINKING CAPACITY.
Mimi ni mwanasayansi na mwanateknolojia hapo baadae.
Mada nyingine ni za kijinga kweli!
Kwa hiyo kwa sababu mashoga na wasagaji ni wachache kuliko waliostraight inamaanisha wao wako sahihi????
Mnahoji Mungu, kila saa Mungu, kila siku Mungu, kwani mnamdai mini Huyo Mungu?
Kama uhai ni kitu rahisi hivyo mbona kwa maendeleo ya sayansi na technology tulonayo hatujaweza kuumba hata jani tu achilia mbali sisimizi?
Wewe kukosa uwezo wa kufikiri sawasawa usianze kumsingizia Mungu wala dini.
Hivi unamfahamu Sir Isaac Newton?
Na unajua uwezo wake kiakili ulikuwaje?
Na unajua alikuwa anaamini mini kuhusu Mungu?
Na unajua kazi zake nyingi zilikuwa zinahusu nini?
Ngoja nikwambie kitu, hata kutokuamini Mungu inaweza kuwa dini pia.
Afrika kwa sehemu kubwa mpaka sasa watu hawaamini katika dini.
Angalia wasukuma wengi hawajui Kanisa wala Msikiti, haya uwezo wao kiakili ukoje?
Tuache upuuzi wa kumhoji Mungu tukijiona ndio tuna Miakili Mingiiiii kumbe ni majinga tu!
Hapana... sijazungumzia kabisa suala la dini! Ukirejea post yako ya kwanza kwangu, umenielewa vizuri sana na umeeleza vizuri sana!!!
Hoja yangu ni kwamba, kila panapohitajika matumizi ya akili, basi kwenye any population, mara nyingi kama sio zote wachache wanakuwa ndo wapo kwenye right side! Kinyume chake, kwenye complex issue kama ya God's existence, over 55% percent of the world population believe in God's existence!
Now, ikiwa kwenye mambo mengi kama siyo yote yanayohitaji kutumia akili and/or reasoning, larger population inakuwa kwenye wrong side, should we consider it as exceptionalism kwamba though the largest world's population believe in God's existence but still hawa ndio wapo sahihi contrary to my belief kwamba wengi wanakuwa kwenye wrong side?!
Above is just a wise version of arguing "does it imply God doesn't exist" cuz' no one point in time the largest population ever been right against the few!!!
Sina shaka juu ya uelewa wako lakini shaka yangu ni ikiwa umenisoma! Na kama umenisoma labda umesoma comments na sio thread yenyewe! Na kama umesoma thread yenyewe, basi shaka yangu ni kwamba uliisoma kwa haraka haraka!Kwa hiyo argument yako ni kwamba kuna watu wachache wenye maisha mazuri na ambao hawaamini uwepo wa Mungu na pia kuna wengi wenye maisha mabaya na ambao wanaamini uwepo wa Mungu, siyo? Hapana sina uhakika na huu utafiti, siwezi kutoa comment juu ya hilo.
Sina shaka juu ya uelewa wako lakini shaka yangu ni ikiwa umenisoma! Na kama umenisoma labda umesoma comments na sio thread yenyewe! Na kama umesoma thread yenyewe, basi shaka yangu ni kwamba uliisoma kwa haraka haraka!
Vuta pumzi na nisome kwa vituo!
Hakuna niliposema wachache wenye maisha mazuri ndio wasioamini Mungu na wengi wenye maisha mabaya ndio wanaoamini Mungu!!! Nitathubutu vipi kusema hayo wakati kuna mamilioni ya watu wenye maisha mazuri na bado wanaamini Mungu!! Nitapata wapi ujasiri wa kusema hayo wakati wapo hata mabilionea wakubwa wanaoamini Mungu!!
Nilichosema ni kwamba, uzoefu unaonesha kwenye every single population, the largest subset inakuwa kwenye losing side na smallest subset inakuwa kwenye winning side!!
Kwamba, hata katika uwezo wetu wa kufikiri na kuchambua mambo, majority of the world population (larger subset) wapo below the average compared na walio above the average(small subset)!!
Kisha nikaamua kutoa mifano ya kawaida kabisa ambayo wala aihitaji the requested empirical data to prove. Nikasema, hata mnapokuwa darasani, wakali wa darasa ni wachache zaidi ukilinganisha na akina sie!
Nikasema, hata ukienda kwenye special schools ambako tunatarajia wote ni wakali, bado miongoni mwao ni wachache zaidi wanaokuwa extra-ordinary ukilinganisha na wakali wa kawaida! Na kwamba, for instance hata ukiona matokeo ya Form VI ya Mzumbe au Feza Boys tunaoamini ni wakali, ni wachache tu miongoni mwao ndio watapata Div I, Pt III au hata Pt IV kulinganisha na wale watakaopata I za kawaida!
Hata ukienda Harvard na MIT, hali ndiyo hiyo hiyo!
Na hapo ndipo nikaleta hoja ya maskini na matajiri! Kwamba, hata duniani, asilimia kubwa ya watu duniani ni maskini ukilinganisha na matajiri! Katika hili hakuna nilipolihusisha na suala la imani kwa Mungu!
Na hapo ndipo nikaita hii small subset in every population ndio inaonekana kuwa imepatia kwa jambo husika huku larger subset mara zote ikionekana kuwa in a losing side!!
Baada ya introduction hiyo, ndipo nikaja suala la kuamini uwepo wa Mungu!!! Ukiangalia official statistics, larger subset of the world population wanaamini katika uwepo Mungu na just small subset haiamini katika uwepo wa Mungu!!
Ndipo nikahoji... ikiwa mifano mingi inaonesha a larger subset inakuwa kwenye losing side, je larger subset hii inayoamini katika uwepo Mungu inaendelea kuthibitisha lile lile kwamba nao ni kwenye losing side au, ingawaje suala la Mungu ni very complex lakini bado wale wale wenye historia ya kuwa kwenye losing side kwenye hili wao wanakuwa ndio wamepatia?!
Sina shaka juu ya uelewa wako lakini shaka yangu ni ikiwa umenisoma! Na kama umenisoma labda umesoma comments na sio thread yenyewe! Na kama umesoma thread yenyewe, basi shaka yangu ni kwamba uliisoma kwa haraka haraka!
Vuta pumzi na nisome kwa vituo!
Hakuna niliposema wachache wenye maisha mazuri ndio wasioamini Mungu na wengi wenye maisha mabaya ndio wanaoamini Mungu!!! Nitathubutu vipi kusema hayo wakati kuna mamilioni ya watu wenye maisha mazuri na bado wanaamini Mungu!! Nitapata wapi ujasiri wa kusema hayo wakati wapo hata mabilionea wakubwa wanaoamini Mungu!!
Nilichosema ni kwamba, uzoefu unaonesha kwenye every single population, the largest subset inakuwa kwenye losing side na smallest subset inakuwa kwenye winning side!!
Kwamba, hata katika uwezo wetu wa kufikiri na kuchambua mambo, majority of the world population (larger subset) wapo below the average compared na walio above the average(small subset)!!
Kisha nikaamua kutoa mifano ya kawaida kabisa ambayo wala aihitaji the requested empirical data to prove. Nikasema, hata mnapokuwa darasani, wakali wa darasa ni wachache zaidi ukilinganisha na akina sie!
Nikasema, hata ukienda kwenye special schools ambako tunatarajia wote ni wakali, bado miongoni mwao ni wachache zaidi wanaokuwa extra-ordinary ukilinganisha na wakali wa kawaida! Na kwamba, for instance hata ukiona matokeo ya Form VI ya Mzumbe au Feza Boys tunaoamini ni wakali, ni wachache tu miongoni mwao ndio watapata Div I, Pt III au hata Pt IV kulinganisha na wale watakaopata I za kawaida!
Hata ukienda Harvard na MIT, hali ndiyo hiyo hiyo!
Na hapo ndipo nikaleta hoja ya maskini na matajiri! Kwamba, hata duniani, asilimia kubwa ya watu duniani ni maskini ukilinganisha na matajiri! Katika hili hakuna nilipolihusisha na suala la imani kwa Mungu!
Na hapo ndipo nikaita hii small subset in every population ndio inaonekana kuwa imepatia kwa jambo husika huku larger subset mara zote ikionekana kuwa in a losing side!!
Baada ya introduction hiyo, ndipo nikaja suala la kuamini uwepo wa Mungu!!! Ukiangalia official statistics, larger subset of the world population wanaamini katika uwepo Mungu na just small subset haiamini katika uwepo wa Mungu!!
Ndipo nikahoji... ikiwa mifano mingi inaonesha a larger subset inakuwa kwenye losing side, je larger subset hii inayoamini katika uwepo Mungu inaendelea kuthibitisha lile lile kwamba nao ni kwenye losing side au, ingawaje suala la Mungu ni very complex lakini bado wale wale wenye historia ya kuwa kwenye losing side kwenye hili wao wanakuwa ndio wamepatia?!