Imani za kishirikina haziwezi fua dafu ukiwa unatoa fungu la kumi, Je hivi ni kwanini?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
 
YESU PEKEE NDIE AWALINDAE HASA WALE WATENDAO AMRI YAKE KUU AMBAYO NI UPENDO

MAANA UKIWA NA UPENDO UTATOA SADAKA KWA WAHITAJI VILEMA,MASIKINI,YATIMA NK HAPO NDIO UNAKUWA UMETOA FUNGU LA KUMI SEHEMU USAHIHI KWA USAHIHI.

UPENDO HUONEA HURUMA,UPENDO HUSAMEHE,UPENDO, UPENDO HUSITIRI
 
Sadaka ni ulinzi wa kiroho

Sadaka ndiyo code ya mafaninikio na baraka kwenye kila aspect
 
Ndo Maana watu husema Bakhiresa hutoa sana misaada.?
Na sadaka si lazima uotoe kanisani, sadaka sio matangazo unapotoa toa kwa mungu... sadaka inayouma ndo hio ina maana kubwa sana kwa mungu๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
 
Haiwezi kuwa hivi:

Anayetoa fungu la kumi anayo tabia ya kufanya mahesabu makali na kamilifu ya mapato, matumizi na faida yake ndiyo maana anatoa fungu la kumi kamilifu.

Hiyo inaweza kuwa ni moja ya sababu anayetoa kuwa vizuri kimahesabu kuliko hao wa bora liende. Manaake mara nyingi kile kinachoitwa ni chuma ulete huwa haswa ni matokeo ya kuibiwa au kutofanya hesabu vizuri.
 
YESU ANATUFUNDISHA UPENDO NA KUSAIDIANA NA KUONEANA HURUMA SISI KWA SISI

YANI FUNGU LA KUMI NIKAMPE NABII AU MTUME LABDA KAMA SINA AKILI

SI BORA NINUNUE SUKALI NIKAWAPE WAJANE NIZUNGUKE MTAANI
Peleka kanisani
 
Outmatically anaetoa fungu la kumi anaIMANI dhabiti.. HILA mbaya huwa haiendi kwa mtu wa aina hiyo..
 
Kwamba no nguvu yeyote ya MUNGU inazuia unyama wa chuma ulete?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ