PostGE2025 Imeandaliwa Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.

Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.

Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?

Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.
Ushahidi ni pale hao vijana watakapo anza kusema kwamba walilipwa mbona haujiongezi we kijana
Na nikuambie tu hakuna watu wanaishi maishq ya shida kama UVCCM yaani mda wote wapo wanawaza ipo siku watashika madaraka na watapata pesa na vyeo hicho kinawafanya watumike mpaka wanazeeka niamin mmi mtaa unavitu vingi na unalipa acha kujifanya hauoni.
 
Nyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.

Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.

Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?

Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.

Wewe ni shetani juha mkubwa. Ni rais gani wa kupewa heshima? Ni huyo muuaji ambaye hakuchaguliwa na watanganyika, au unaye rais mifukoni mwako?

Kumshabikia muuaji ina maana na wewe ni muuaji. Ulaaniwe muuaji wewe!!
 
leo tarehe 25 november Samia kaanzisha Task force maalumu kuwaandaa vijana waseme walilipwa kufanya maandamano October 29 taskforce imehusisha TISS, kamati ya CCM nitaweka majina soon vijana hao watakuwani UVCCM wameandaa waandishi wa habari, viongozi kila kanda kuratibu vijana ingia instagram search accunt ya NURUVAZI yupo live ana host HABIL anatoa nondo na ushahidi siwezi upload link maana ni kinyume na taratibu za JF

-Vijana watatoa ushahidi wakiwa wamekifunika sura
- vijana wameahidiwa milioni 3 kila mmoja

Maelezo yote ya hizo task force kuvujisha anatoa habil and kabil ingia TikTok search account summerclif00

Member: wanaume 8
Watu wa intelijensia: 3
Wanawake: 4

Instagram ingia account ya NURUVAZI
Tufanye kweli walilipwa haya kwanini wauliwe kwa risasi za moto mamia kwa maelfu kama fisi walio vamia makazi ya watu?hapo ndipo panahitajibu sahihi hata kama walilipwa je? Kuwaua namna ile ndiyo suluhisho la kudeal na wanao lipwa kuandamana? Bado wanashauriana upumbavu tuu hakuna mwenye akili timamu kwenye kundi lao huyo rais na waj8nga wenzie
 
Nyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.

Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.

Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?

Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.
😄
 
Hakuna sababu yoyote inayomhararishia kuuwa watanganyika kwa kiasi kile!
Tena kawatuma kmkm kuwaua watu
Inaonesha jinsi walivyo wapumbavu ; huyo mtu mwenye fedha kiasi hicho cha kuwahonga vijana wote walioandamana , si wangemkamata wakati anafanya zoezi hilo na vyombo vya ulinzi wanavyo? Wamekuja kujua kuwa kuna mtu alikuwa anagawa fedha baada ya kuwaua vijana na wao kuwa accountable? Hii mbinu yao itashindwa!
maccm walichoma vituo na kufanya vurugu wenyewe kwa kushirikiana na kmkm na Polisiccm wasio na unform , ili wapate visingizio vya kuwapiga Risasi wapita njia na watu wengine majumbani mwao
 
Tufanye kweli walilipwa haya kwanini wauliwe kwa risasi za moto mamia kwa maelfu kama fisi walio vamia makazi ya watu?hapo ndipo panahitajibu sahihi hata kama walilipwa je? Kuwaua namna ile ndiyo suluhisho la kudeal na wanao lipwa kuandamana? Bado wanashauriana upumbavu tuu hakuna mwenye akili timamu kwenye kundi lao huyo rais na waj8nga wenzie
Hakuna kijana kalipwa hizo ni propaganda za maccm ambao wanatapatapa sasa baada ya kuona ICC The Hague imewakalia vibaya
 
Vurugu machafuko wizi na kuchoma moto vituo vya mafuta vilifanywa na maccm yenyewe kwa kushirikiana na kmkm na Polisiccm kwa Uratibu wa Haji Omary Kheri Mzanzibar katili kama enzi za yule Maliyamungu wa iddy Amin Dada, huku akiwapiga Risasi wengi kuwabeba kwenda kuzika makabuli ya pamoja, Hakuna haja ya kutumia nguvu pesa nyingi kuchunguza, mkamateni Haji Omary Kheri ukweli wote utajulikana
 
Lipo Liccm limoja hapa America linaitwa Zain namba yake ya simu hii +12404813771 ni jitu hatari kwa usitawi wa mwanadamu lina Robo mbaya sana, ni mmoja wa walioratibu vurugu ili wapate visingizio vya kuwapiga watu Risasi kuwaua kwa wingi na kuwajeruhi kwa wingi
 
Hii wameiga kwa Ruto 🇰🇪,Ruto alikuja na accusation kuwa Ford Foundation wamewalipa waandamanaji,Ford Foundation walikanusha na Aljazeera walisema Ruto alikuwa anakwepa kuwajibishwa.Wanataka kukwepa uwajibikaji na pia kutaka Watanzania wasiwaamini wanaohamasisha watu kuandamana
 
Nyie ndio mnaoharibu jukwaa hili na kushusha heshima ya jukwaa kwa kutunga vihabari vya uongo na uzushi tu hapa.

Unafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.

Unaweza kuweka ushahidi wako hapa wa huo ujinga wako unaoropoka hapa ?

Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais. Kama umekosa adabu na kukosa malezi ya wazazi wako .usilete ujinga wa kumchafua Mheshimiwa Rais .Tena koma kabisa.
Hovyooooo
 
Hebu tupe ushahidi wa ushahidi wa kura 31M. Usiseme ngonjera hapa.
 
Baada ya madai mengi kuwa wapo waliolipwa, njia pekee ya kuthibisha hilo ni kuleta watu kusema walilipwa ili kutoka barabarani, hizi propaganda za kitoto sana hazitafanikiwa.
 
Wabongo siku hizi wanajua kweli na si kweli

Watapangua na hili pia

#propaganda
 
Yamewafika shingoni. Wamevurugwa, wamechanganyikiwa, anapokea kila ushauri na kwa uwezo wake mdogo hawezi kutenga pumba na Michele. Inasikitisha.
 
Back
Top Bottom