Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kuna species iliishi pande hizo, asiatic lion, ni subspecies ya panthers leo. How ever they live to 19th century, species hiyo ya simba haipo tenaSina uhakika hapo zamani za kale Palestina waliishi wanyama.
Kiasili lile eneo ni jangwa hadi leo yaani ni kame ikiwa pamoja na Israeli.
Maandiko yanasema.
Walipofika huko kwenye mashamba ya mizabibu, mwanasimba mmoja akatokea akamngurumia Samsoni. Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia Samsoni kwa nguvu, akamrarua simba huyo kama mtu araruavyo mwanambuzi.
Huyu simba kwenye mashamba ya mizabibu alitoka wapi?
Sina uhakika kama hapo zamani hizo kulikuwa misitu kiasi kwamba hata simba na wanyama wengine wali survive mwenye kujua atujurishe kwa maandiko tu. Na sio porojo.
Swali la ziada. Soma hapa
Baada ya siku chache alirudi huko Timna kumchukua huyo msichana. Alipokuwa njiani akageuka pembeni kuuona mzoga wa yule simba, na kumbe kulikuwa na nyuki ndani ya mzoga na asali. Basi, akapakua asali kwa mikono yake akawa anakula huku akiendelea na safari yake.
swali
Sote tunajua yakuwa kiumbe hai hasa wanyama akisha kufa hatua inayofuata huoza na kushambuliwa na wadudu au wanyama wanakula mizoga. Hili la samsoni kuona Asali na kutoa kisha kuanza kula kwenye mzoga wa simba. Je hiyo asali ilitoka wapi?
Karibu tupeane uzoefu wa kimaandiko sio kwa ubaya tueleweshane tu.View attachment 3292033
Ahsante mkuu je kwa sasa wanapatikana jangwa gani?Barbary lion wanapatikana jangwani
19 century mkuu mbona sio mbali sana...kwanini p[awe na badiliko kubwa vile hapo palestina au kwa sababu ya mabomu?Kuna species iliishi pande hizo, asiatic lion, ni subspecies ya panthers leo. How ever they live to 19th century, species hiyo ya simba haipo tena
ni suala la uelewa tu wa jogorafia ya dunia. hivi unajua pale Israel kuna mito ya maji pia? jangwani kuna mito? umeambiwa Israel kuna jangwa? unajua wanalima na kuuza machungwa, mbogamboga hadi wanaexport nje? unajua eneo lile zamani lilikuwa na mbweha, mbwa mwitu, dubu na simba wengi, na wanyama wa porini ambao simba ndio walikuwa chakula chao? hivi unafikiri pale Israel hali yake ya hewa ni sawa na kule dubai, saudia na kwengine?Sina uhakika hapo zamani za kale Palestina waliishi wanyama.
Kiasili lile eneo ni jangwa hadi leo yaani ni kame ikiwa pamoja na Israeli.
Maandiko yanasema.
Walipofika huko kwenye mashamba ya mizabibu, mwanasimba mmoja akatokea akamngurumia Samsoni. Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia Samsoni kwa nguvu, akamrarua simba huyo kama mtu araruavyo mwanambuzi.
Huyu simba kwenye mashamba ya mizabibu alitoka wapi?
Sina uhakika kama hapo zamani hizo kulikuwa misitu kiasi kwamba hata simba na wanyama wengine wali survive mwenye kujua atujurishe kwa maandiko tu. Na sio porojo.
Swali la ziada. Soma hapa
Baada ya siku chache alirudi huko Timna kumchukua huyo msichana. Alipokuwa njiani akageuka pembeni kuuona mzoga wa yule simba, na kumbe kulikuwa na nyuki ndani ya mzoga na asali. Basi, akapakua asali kwa mikono yake akawa anakula huku akiendelea na safari yake.
swali
Sote tunajua yakuwa kiumbe hai hasa wanyama akisha kufa hatua inayofuata huoza na kushambuliwa na wadudu au wanyama wanakula mizoga. Hili la samsoni kuona Asali na kutoa kisha kuanza kula kwenye mzoga wa simba. Je hiyo asali ilitoka wapi?
Karibu tupeane uzoefu wa kimaandiko sio kwa ubaya tueleweshane tu.View attachment 3292033
ipo india hadi leo, ni simba wenye umbo dogo kidogo kuliko hawa wa kwetu.Kuna species iliishi pande hizo, asiatic lion, ni subspecies ya panthers leo. How ever they live to 19th century, species hiyo ya simba haipo tena
Mkuu israeli kuna mito gani?ni suala la uelewa tu wa jogorafia ya dunia. hivi unajua pale Israel kuna mito ya maji pia? jangwani kuna mito? umeambiwa Israel kuna jangwa? unajua wanalima na kuuza machungwa, mbogamboga hadi wanaexport nje? unajua eneo lile zamani lilikuwa na mbweha, mbwa mwitu, dubu na simba wengi, na wanyama wa porini ambao simba ndio walikuwa chakula chao? hivi unafikiri pale Israel hali yake ya hewa ni sawa na kule dubai, saudia na kwengine?
Thank you kwa marekebishoipo india hadi leo, ni simba wenye umbo dogo kidogo kuliko hawa wa kwetu.
Walipotea Karne ya 13 A.D kwa sasa hawapo.Sina uhakika hapo zamani za kale Palestina waliishi wanyama.
Kiasili lile eneo ni jangwa hadi leo yaani ni kame ikiwa pamoja na Israeli.
Maandiko yanasema.
Walipofika huko kwenye mashamba ya mizabibu, mwanasimba mmoja akatokea akamngurumia Samsoni. Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia Samsoni kwa nguvu, akamrarua simba huyo kama mtu araruavyo mwanambuzi.
Huyu simba kwenye mashamba ya mizabibu alitoka wapi?
Sina uhakika kama hapo zamani hizo kulikuwa misitu kiasi kwamba hata simba na wanyama wengine wali survive mwenye kujua atujurishe kwa maandiko tu. Na sio porojo.
Swali la ziada. Soma hapa
Baada ya siku chache alirudi huko Timna kumchukua huyo msichana. Alipokuwa njiani akageuka pembeni kuuona mzoga wa yule simba, na kumbe kulikuwa na nyuki ndani ya mzoga na asali. Basi, akapakua asali kwa mikono yake akawa anakula huku akiendelea na safari yake.
swali
Sote tunajua yakuwa kiumbe hai hasa wanyama akisha kufa hatua inayofuata huoza na kushambuliwa na wadudu au wanyama wanakula mizoga. Hili la samsoni kuona Asali na kutoa kisha kuanza kula kwenye mzoga wa simba. Je hiyo asali ilitoka wapi?
Karibu tupeane uzoefu wa kimaandiko sio kwa ubaya tueleweshane tu.View attachment 3292033
Factors ni nyingi, kuwindwa, mabadiliko ya tabia ya nchi.19 century mkuu mbona sio mbali sana...kwanini p[awe na badiliko kubwa vile hapo palestina au kwa sababu ya mabomu?
Jamaa yangu aliyekuwa kule israel kwa miaka 6 ndo aliyeniambia haya yote na akanda mbali zaidi akisema waisrael wana akili nyingi sana ile nchi tungepewa wa tz basi tungekufa kwa njaa ...wao wanategemea kilimo cha umwagiliaji mvua ni majaliwa ya molani suala la uelewa tu wa jogorafia ya dunia. hivi unajua pale Israel kuna mito ya maji pia? jangwani kuna mito? umeambiwa Israel kuna jangwa? unajua wanalima na kuuza machungwa, mbogamboga hadi wanaexport nje? unajua eneo lile zamani lilikuwa na mbweha, mbwa mwitu, dubu na simba wengi, na wanyama wa porini ambao simba ndio walikuwa chakula chao? hivi unafikiri pale Israel hali yake ya hewa ni sawa na kule dubai, saudia na kwengine?
Ahsante sana najifunza mkuuFactors ni nyingi, kuwindwa, mabadiliko ya tabia ya nchi.
Mkuu israeli kuna mito gani?
swali zuri, atuambie pia kama mizeituni inaota saudia na qatar. Pale Israel wamekuwa na historia ya kilimo tena cha umwagiliaji tangi Yesu hajazaliwa. Kuna mto Yordani ambao hata Yesu alibatizwa, kulikuwa na kilimo cha mitini ambayo hata Yesu alikuja kuulaani kwa kukosa matunda, enzi na enzi kuna kilimo cha zabibu pale. sio jangwani.Kwan hio mizeitun iliotaje huko jangwan?