Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Nimekuelewa mkuu na mto nilikuwa naujua ni jordan tu nimeuliza hivyo nipate ufahamu zaidi..swali zuri, atuambie pia kama mizeituni inaota saudia na qatar. Pale Israel wamekuwa na historia ya kilimo tena cha umwagiliaji tangi Yesu hajazaliwa. Kuna mto Yordani ambao hata Yesu alibatizwa, kulikuwa na kilimo cha mitini ambayo hata Yesu alikuja kuulaani kwa kukosa matunda, enzi na enzi kuna kilimo cha zabibu pale. sio jangwani.
Kilimo cha zazibu sina hakika kama kinahitaji maji bwelele maana dodoma ndo kinakubali sanaswali zuri, atuambie pia kama mizeituni inaota saudia na qatar. Pale Israel wamekuwa na historia ya kilimo tena cha umwagiliaji tangi Yesu hajazaliwa. Kuna mto Yordani ambao hata Yesu alibatizwa, kulikuwa na kilimo cha mitini ambayo hata Yesu alikuja kuulaani kwa kukosa matunda, enzi na enzi kuna kilimo cha zabibu pale. sio jangwani.
ungemuuliza wapi israel kuna jangwa? mbona wanalima zabibu tangu hata Yesu hajazaliwa? mbona Ibrahim alifuga mifugo pale majani angepata wapi jangwani? mbona Mfalme Daudi alilima na kufuga, mbona suleiman alikata misitu kadhaa pale kujenga hekalu ambao waislam walikuja kulivunja pale dome of the rock, mbona enzi na enzi hadi leo na kesho wanalima mizeituni (olives) ambazo zinazalisha mafuta ya mzeituni yanasambazwa dunia nzima? hii inamaanisha palikuwa sio jangwa, palikuwa na majani, palikuwa na wanyama poari, simba, mbwa mwitu, dubu ambaye hata Daudi alimuua machungani etc.Jamaa yangu aliyekuwa kule israel kwa miaka 6 ndo aliyeniambia haya yote na akanda mbali zaidi akisema waisrael wana akili nyingi sana ile nchi tungepewa wa tz basi tungekufa kwa njaa ...wao wanategemea kilimo cha umwagiliaji mvua ni majaliwa ya mola
unaweza kukilima pale saudia, jangwa la sahara, au namib dersert?Kilimo cha zazibu sina hakika kama kinahitaji maji bwelele maana dodoma ndo kinakubali sana
Ni sahihi nimeongeza maarifaungemuuliza wapi israel kuna jangwa? mbona wanalima zabibu tangu hata Yesu hajazaliwa? mbona Ibrahim alifuga mifugo pale majani angepata wapi jangwani? mbona Mfalme Daudi alilima na kufuga, mbona suleiman alikata misitu kadhaa pale kujenga hekalu ambao waislam walikuja kulivunja pale dome of the rock, mbona enzi na enzi hadi leo na kesho wanalima mizeituni (olives) ambazo zinazalisha mafuta ya mzeituni yanasambazwa dunia nzima? hii inamaanisha palikuwa sio jangwa, palikuwa na majani, palikuwa na wanyama poari, simba, mbwa mwitu, dubu ambaye hata Daudi alimuua machungani etc.
Kama uhakika wa maji inawezekanaunaweza kukilima pale saudia, jangwa la sahara, au namib dersert?
ShukraniKuna simba wanaitwa Mountinous Lion au Cougar au Puma ni Species ya simba kwenye maeneo hayo! hao wanapatikana sana kwenye majabari makubwa huko..kama ulishawahi kuona filamu ya Samson utaona haikua jangwani alipopambana na simba bali ilikua kwenye mamilima makubwa yenye majabari ya mawe... et.c
1. The 251km-long Jordan River runs through the Sea of Galilee to the Dead Sea.Mkuu israeli kuna mito gani?
Kabisa Mkuu Wanaitwa panthera Leo Persica kama SijakoseaKuna species iliishi pande hizo, asiatic lion, ni subspecies ya panthers leo. How ever they live to 19th century, species hiyo ya simba haipo tena
Je kwa sasa kuna wanyama wowote israeli mkuu?1. The 251km-long Jordan River runs through the Sea of Galilee to the Dead Sea.
2. Yarkon River in Tel Aviv, Banias in Galilee,
3. Kishon River, to name just a few
Simba wa Jangwani ndio Simba wakubwa kushinda wote, sasa hivi wanapotea ila wapo wachache bado.Sina uhakika hapo zamani za kale Palestina waliishi wanyama.
Kiasili lile eneo ni jangwa hadi leo yaani ni kame ikiwa pamoja na Israeli.
Maandiko yanasema.
Walipofika huko kwenye mashamba ya mizabibu, mwanasimba mmoja akatokea akamngurumia Samsoni. Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia Samsoni kwa nguvu, akamrarua simba huyo kama mtu araruavyo mwanambuzi.
Huyu simba kwenye mashamba ya mizabibu alitoka wapi?
Sina uhakika kama hapo zamani hizo kulikuwa misitu kiasi kwamba hata simba na wanyama wengine wali survive mwenye kujua atujurishe kwa maandiko tu. Na sio porojo.
Swali la ziada. Soma hapa
Baada ya siku chache alirudi huko Timna kumchukua huyo msichana. Alipokuwa njiani akageuka pembeni kuuona mzoga wa yule simba, na kumbe kulikuwa na nyuki ndani ya mzoga na asali. Basi, akapakua asali kwa mikono yake akawa anakula huku akiendelea na safari yake.
swali
Sote tunajua yakuwa kiumbe hai hasa wanyama akisha kufa hatua inayofuata huoza na kushambuliwa na wadudu au wanyama wanakula mizoga. Hili la samsoni kuona Asali na kutoa kisha kuanza kula kwenye mzoga wa simba. Je hiyo asali ilitoka wapi?
Karibu tupeane uzoefu wa kimaandiko sio kwa ubaya tueleweshane tu.View attachment 3292033
Kuna mdau kasema kwa sasa wapo india nipo youtube nawaangalia sijawapata niwatafute kwa jina gani?Kabisa Mkuu Wanaitwa panthera Leo Persica kama Sijakosea
Walikuwepo Simba Enzi hizo palestine
haimaanishi israel hamna jangwa kabisa, a significant part of it ni jangwa, ila eneo kubwa sana li arable land, unalima, kuna miti, mito ya maji na maisha kama hapa.Ni sahihi nimeongeza maarifa
Israel has a variety of wild animals, including mammals like mountain gazelles, red foxes, caracals, and Nubian ibex, as well as reptiles, birds, and other species.19 century mkuu mbona sio mbali sana...kwanini p[awe na badiliko kubwa vile hapo palestina au kwa sababu ya mabomu?
Mkuu watu mnajua mambo hadi raha asee.Napata vingi vingi kuliko hata nilivyokusudia asee.Shukrani sanaSimba wa Jangwani ndio Simba wakubwa kushinda wote, sasa hivi wanapotea ila wapo wachache bado.
Unaona Morocco timu ya Taifa? Wanaitwa Atlas lion, Jina jengine La Atlas lion ni Barbarian lion, Huyu simba anapatikana Jangwa la Sahara North Africa yote ile hadi Egpty, pia anapatikana Ulaya Kusini na Asia Magharibi.
Atlas lion ndio simba mkubwa kushinda wote kizazi chetu hiki. Anakuwa na manyoya mengi hadi kwenye Tumbo mixer gold na nyeusi
View attachment 3292045
Pia Ukitoa huyo Atlas Lion kuna simba wengine wanaitwa Asian lion/Persian lion, walikuwepo pia huo ukanda hasa maeneo ya Palestina, sema hawa ni wadogo wadogo na hawana hayo manyoya (Mane) ya kutosha kama Barbarian.
Pia kuna ushahidi wa masalia/Mabaki ya hao simba hayo maeneo ukitrace maelfu ya miaka, hivyo ushahidi wa kisayansi pia unaonesha kulikua na simba miaka hio.