Imeandikwa kuwa Samson alipambana na simba hadi akamuua yule simba.Swali huyo simba jangwani kama parestina alitoka wapi?

Mkuu nina swali kuna mdau amesema simba wa jangwani ni wadogo wadogo kuliko hawa simba wetu sasa sijaelewa yupi yupo sawa?
 
Je kwa sasa kuna wanyama wowote israeli mkuu?
kuna ng'ombe, kondoo, mbuzi, mbweha, mbwa mwitu, dubu n.k hata wapalestina wanafunga kondoo na mbuzi za kuswaga kama masai hadi leo. hao simba unaowasema wanaitwa Asiatic lions, eneo lile la Israel waliondoka, na dunia nzima inasemekana wamebaki eneo fulani huko India. ni simba kama hawahawa ila maumbile yao ni madogo kidogo tofauti na hawa. ninaposema wadogo usijefikiri ni simba nusu, no, wametofautiana kilogram chache tu ila ni simba hatari kama simba yeyote. just google maumbile yao uone, angalia 'ASIATIC LIONS IN INDIA", uone wapoje. pale Israel walikufa na wengine kuhama, wanyama kuhama ni kitu cha kawaida kufuata malisho au wanyama wenzao.
 
Mkuu ahsante sana kwa mchango wako. Lakini mara nyingi kama zote ninapouliza swali hapa huwa nahitaji kujua kimtazamo wa kibinadamu zaidi ili niweze kujua zaidi.
 

View: https://youtu.be/xGOlrGHIvKM?si=azSXmi26DbXQcmSj
Nineona mkuu ila ni peril sio india sijui wanatofautiana?
 
Mkuu nina swali kuna mdau amesema simba wa jangwani ni wadogo wadogo kuliko hawa simba wetu sasa sijaelewa yupi yupo sawa?
Hata mimi nimeandika hapo ukisoma vizuri, Asiatic lion ni wadogo, hawa walikua huko Iran, India etc mpaka Palestina pia walikuwepo.

Ila Barbaran lion ni wakubwa hawa nao walipatikana North Africa, South Europe na West Asia.

Sijui Stori ya Samson ni simba gani alipigana nao, ila kuonyesha nguvu likely alikua ni Barbarian, hio midude inatisha mita tatu na nusu urefu na uzito wanaenda hadi kilo 230.

Asiatic lion urefu 1.7-2.5M na uzito 160-190KG, Asiatic mwanaume wa kawaida mwenye nguvu hata kizazi chetu akimlia timing anaweza pigana nae, kuna stori kibao Asia watu bila silaha kuua simba.
 
haimaanishi israel hamna jangwa kabisa, a significant part of it ni jangwa, ila eneo kubwa sana li arable land, unalima, kuna miti, mito ya maji na maisha kama hapa.
kuna makala moja nimewahi kuisoma ilikuwa ina hoji je ni kweli israel ni nchi ahadi yenye asali na maziwa?

Kwenye maelezo aliyekuwa anafafanua alieleza kwenye negative way sana nami nikawa nimeamini!!
Nikitulia nitaipitia tena. ahsante sana
 
Upongezwe sana mkuu
 
kanishangaza sana huyu mkuu hajui kama simba mkubwa mno duniani alipatikana jangwani uko morocco achana na hawa nyau wetu wa serengeti
Mkuu sio wote tunajua mimi sijui na nina siku nyingi nawaza sana kuhusu hili. wewe hujui jf ni kisima cha maarifa?
 
Una question Bible? Some kitabu chote Cha waamuzi,
Story ya Samson ilitukia enei gani? Kumbukumbu wakati ule nchi zilikuwa ndogo ni kieneo kidogo Cha kijiografia tumua Google ku search Hilo ENEO, kwanza uliza Google ? Eneo la kijiografia linalisimuliwa kwenye kitabu Cha waamuzi sura fulani, then ligoogle Hilo ENEO,
Haya maarifa hayahitaji ufahamu wowote wa kiroho ni maarifa ya kawaida tu.
BIBLE IS TRUE HISTORICAL BOOK
IPO SAHIHI 100/
KAUNA JAMAA YOU TUBE ANAJIBU E
MASWALI YA WANAFUNZI WA VYUO KUHUSU BIBLE NQ JESUS CHEKI, ASK CLIFFE
 
kuna makala moja nimewahi kuisoma ilikuwa ina hoji je ni kweli israel ni nchi ahadi yenye asali na maziwa?

Kwenye maelezo aliyekuwa anafafanua alieleza kwenye negative way sana nami nikawa nimeamini!!
Nikitulia nitaipitia tena. ahsante sana
maziwa na asali ilikuwa lugha ya mafumbo tu ikimaanisha ni mahali penye baraka ya Mungu kwao,
 
mambo ya MUNGU yana usiri mkbwa sana!!!...wewe fikiria ilikuwaje bahari iligawanyika wakati wana wa ISRAIL walipokuwa wakiondoka misri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…