OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Habari wakuu
Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake
Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja,
Duka lenye wateja na lisilo na wateja je lipi lina mvuto kwa watu? Jibu ni duka lenye wateja ndio lenye mvuto kwa watu lina thamani ndio maana watu wengi huenda hapo kupata huduma.
Na sisi wanaume ni sawa na DUKA, mwanaume mwenye mwanamke mmoja au zaidi ana mvuto kwa wanawake wengine (duka lenye wateja), ndio maana ni rahisi kulala na mwanamke mwingine ambaye anajua wazi kabisa kuwa una mke lakini ikawa vigumu kulala au kumpata mwanamke huyo endapo ungekuwa huna mke yaani upo single (duka lisilo na wateja)
Mwanaume ambaye hana mwanamke hana mvuto kwa wanawake wengine, wao huamini hana thamani ndio maana wenzake wamemkataa. Ukitaka kuamini angalia watu wanaooa wake wawili tena wote wanajuana na kila mwanamke anapigania kummiliki mme peke yake hapo means mwanaume ana thamani.
Mwanamke akiniuliza una mke hua najibu ndio, akiuliza why namtaka wakati nna mke huwa najibu kwa kujiamini nataka uwe mke mdogo. Wala huwa hawachomoi.
Kwa wale ambao hampendi kuwa na wanawake wengi jitahidini hata kwa ku fake kuwa mnawanawake wengine kwa wapenzi au wake zenu. Hii inaongeza upendo na thamani ya mwanaume.
Karibuni kwa maoni zaidi, nyongeza au kukosoa hii nadharia yangu
Nawasilisha.