Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

Uongo wale wanao pata mademu wkt wakiwa na Mademu wengine!! mara nyingi huwa wananukia Mbususu!!.......ile ikinukia hata kma unauza Duka utapata wateja wengi!! wee nenda ivoivo usioge!! Ni dawa nzuri sana!! ila watu hawajui hii siri!
Kwahiyo ile dini inayofundisha kunawa janabi..kumbe imewaingiza chaka waumini wake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu huu ni ukweli mtupu. Mwanamke anavutiwa zaidi hasa na mwanaume mwenye mpenzi zaidi ya mmoja.

Kwa ufupi ukiwa na mke ni rahisi kuwapata wanawake maana huamini una uwezo wa kumudu majukumu na sio muoga wa maisha.

Pia wanaamini una upeo mkubwa wa kifikra ndo maana utakuta mwanaume ana mke lakini akitongoza mwingine anakubaliwa kuwa mke wa pili.
 
Hujawahi kujiuliza kwanini ni rahisi kupata demu ukiwa na demu mwingine lakini ni vigumu sana kupata demu ukiwa single?
Majibu yote ya wanaopingana na wewe yapo hapa.

Ukiwa na demu ukitaka demu mwingine ni rahisi kumpata ila ukiwa single utasota hatari.
 
Kwamba baa yenye mafuriko ya walevi inavutia zaidi walevi😊
 
Hujawahi kujiuliza kwanini ni rahisi kupata demu ukiwa na demu mwingine lakini ni vigumu sana kupata demu ukiwa single?
Na nirahisi kupata kazi ukiwa na kazi lakini kama huna kazi ni kazi kupata kazi
 
Uongo wale wanao pata mademu wkt wakiwa na Mademu wengine!! mara nyingi huwa wananukia Mbususu!!.......ile ikinukia hata kma unauza Duka utapata wateja wengi!! wee nenda ivoivo usioge!! Ni dawa nzuri sana!! ila watu hawajui hii siri!
kuna jamaa kitaa walikuwa wansema ananuka K mwamba hakuna demu anapindua kwake
 
Hali iwe hivyo hivyo na kwa mkeo wala usiwe mbogo ukiskia kuna kibopa anakula mkeo kwasababu nasisi tutakukumbusha mfano wako wa Duka
lol [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inaweza kuwa kweli kwa asilimia 70. Kwa sisi tulio oa tunajua hili, opportunities tunazozipata sasa hivi hatukuwahi kuzipata tulivyokua single. Nilishakua na kamchepuko changu sikuwahi kumwambia nina mke sasa kuna siku tumekaa close nikawa namtumia msg wife akaniuliza kama nimeoa nikaganda kama sekunde 3 nikifikiria uongo wa kumpa cha ajabu akaniambia "we sema ukweli tu mimi sikuachi".

NB: Kuchepuka dhambi ndugu zangu touoe zaidi ya moja kama tutaweza kuwahudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…