CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Nashukuru kunielewa mkuu.Umemjibu vizuri sana hii ni awamu ya sita
Kisheria awamu ina miaka 10. kila awamu moja ikiwa na mihula miwili,muhula mmoja ukiwa na miaka mitano.
awamu ya JPM haikuisha, mama samia ana inherit awamu ya JPM ambayo ya tano, kumalizia vipindi vyake. japo ni Rais wa sita.
kwenye awamu hatuangalii Rais.
Sio kweli kama ndio hivyo hii ingekuwa awamu ya 7Kisheria awamu ina miaka 10. kila awamu moja ikiwa na mihula miwili,muhula mmoja ukiwa na miaka mitano.
awamu ya JPM haikuisha, mama samia ana inherit awamu ya JPM ambayo ya tano, kumalizia vipindi vyake. japo ni Rais wa sita.
kwenye awamu hatuangalii Rais.
Kwahiyo unataka kusema uchaguzi huu angepita LISSU ingekuwa awamu ya 5?Hii ni awamu ya tano Rais wa sita. Awamu ya sita bado mpaka uchaguzi mkuu ujao. Awamu huingia madarakani kwa uchaguzi na endapo aliyepita atashinda basi ataendeleza awamu yake.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ingekuwa Awamu ya sita.Awamu ya JPM ingeisha pale pale.Ila kwakuwa JPM alishinda tena hivyo anaendeleza awamu yake ya tano.Kwahiyo unataka kusema uchaguzi huu angepita LISSU ingekuwa awamu ya 5?
GoodKwa mujibu wa katiba rais anapofariki au kushindwa kuendelea na majukumu yake kwa sababu ya maradhi au sababu nyingine iliyoainishwa na katiba basi makamu wa rais atachukua nafasi ya urais na ikiwa muda uliobaki ni zaidi ya miaka mitatu katika ile miaka mitano basi rais aliyechukua madaraka itahesabika hiyo ni awamu yake ya kwanza na ataruhusiwa kugombea tena mara moja tu yaani kwa sasa Mama Samia ataruhusiwa kugombea tena 2025 ikiwa atashinda basi hiyo ndiyo itakuwa awamu yake ya pili na ya mwisho lakini ingekuwa Magufuli amefariki na kubakisha chini ya miaka mitatu basi ndio ingekuwa Samia anamalizia awamu ya Magufuli baadaye angeruhusiwa kugombea awamu zake mbili, hivyo hapo utaona Mama Samia ni rais wa awamu ya sita na hivi sasa inahesabika ni awamu yake ya kwanza.
Ingekuwa kipindi cha pili cha awamu ya tano!Ingekuwa Awamu ya sita.Awamu ya JPM ingeisha pale pale.Ila kwakuwa JPM alishinda tena hivyo anaendeleza awamu yake ya tano.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa ulikula ban ukafungua ID nyingineIngekuwa kipindi cha pili cha awamu ya tano!
Muda ukifika ataivaa tu, kwani mdudu Bado yupo hasa ikuluAwamu ya sita ni jina tu ila ilani inayotekelezwa ni ile aliyoinadi Magu 2020-2025.
Kitendo cha Samia kutoonekana akiwa na barakoa wala kutilia mkazo juu ya hilo ni ushahidi tosha kuwa ataendeleza mabaya na mazuri ya mtangulizi wake.
Sioni jipya na wala halipo.
Umejuaje?Wewe utakuwa ulikula ban ukafungua ID nyingine
TeteteteUmejuaje?
Kweli kabisa - halafu nikaomba kusamehewa wakagoma! Basi tena nimeanza upya wakati nilishakuwa na posts Zaidi ya elfu 40.Wewe utakuwa ulikula ban ukafungua ID nyingine
Tehe tehe!Mwisho wa marumbano samia suluhu hasani hawezi kuwa magufuri, kiutendaji na hata kitabia japo wengi wanatamani awe kama magufuri hilo halitawezekana,
Atatekeleza miradi sawa, atatumbua majipu sawa, atafanya kila alicho fanya magu lakini hawezi kuwa kama magu.mkae mkijua hivyo.
Mwisho, musiba na makonda ambao mnajiita veronica na joyce mmepata ujumbe wa mzee wa msoga.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Stori za vijiweni hizi kuvuta siku iishe fasta.Kuna dereva mmoja wa bus la abiria alikuwa hapendi kuandamana na kondakta anaejua kuendesha kwa kuhofia kuwa anaweza kumfunika na pengine kumbishia kitu asichokubaliana nacho. Hivyo alipopewa nafasi na tajiri yake ili kutafuta kondakta wa kumsaidia kazi yeye alimtafuta mtu ambaye kwanza hakuwa na ujuzi wowote wa kuendesha gari na pia alihakikisha kwamba huyo kondakta muda wote yeye atakuwa mtu wa kuitikia kila atakalosema yeye. Siku moja wakiwa katikati ya safari dereva huyo aliugua tumbo la kuhara na hivyo akashindwa kuendesha gari. Abiria walibaki njia panda.
Kwanini Zanzibar Wana awamu nyingi zaidi ilihali kote kipindi cha kutawala ni kile kile?Hii sio hawamu ya sita, ni awamu ya tano ikiwa na rais wa sita.
Kwioo hamna umekushawishi?Je kundi la kina sisi ambao hatujui tuegemee wap tusemeje