Imebaki masaa machache sana wajisahaulishe kuwa twapaswa kuanza awamu ya sita na sio kuendeleza awamu ya tano

Imebaki masaa machache sana wajisahaulishe kuwa twapaswa kuanza awamu ya sita na sio kuendeleza awamu ya tano

Umepa
Wewe ndio dunya.
Hii ni awamu ya tano ila Rais wa sita. Rais Samia aligombea akiwa mgombea mwenza wa Magufuli. Sera na ahadi za Magufuri ndio sera na ahadi za Samia.
Kwa hii miaka minne anamalizia awamu ya tano ambayo tuliwachagua 2020.
Usisahau kuwa Samia aligombea 2020
Umepata majibu ndugu yangu? Hujabadili msimamo?
 
Mwisho wa marumbano samia suluhu hasani hawezi kuwa magufuri, kiutendaji na hata kitabia japo wengi wanatamani awe kama magufuri hilo halitawezekana,

Atatekeleza miradi sawa, atatumbua majipu sawa, atafanya kila alicho fanya magu lakini hawezi kuwa kama magu.mkae mkijua hivyo.

Mwisho, musiba na makonda ambao mnajiita veronica na joyce mmepata ujumbe wa mzee wa msoga.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Halafu unakosea kosea kuandika. Hapo ujumbe wako unamaanisha nini ndugu?
 
Back
Top Bottom