D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Feb 5, 2025 #121 Mleta mada ni TAKATAKA, UAE haitegemei mafuta katika harakati zake. UAE ni muungano wa nchi saba, na katka hizo saba yenye mafuta ni moja tu ambayo ni Abu Dhabi.
Mleta mada ni TAKATAKA, UAE haitegemei mafuta katika harakati zake. UAE ni muungano wa nchi saba, na katka hizo saba yenye mafuta ni moja tu ambayo ni Abu Dhabi.
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Feb 5, 2025 #122 Mcqueenen said: Swali zuri ..hivi Dubai Kabla ya mafuta palikuwaje? Click to expand... Waliishi kwa kutegemea misaada kutoka Tanganyika
Mcqueenen said: Swali zuri ..hivi Dubai Kabla ya mafuta palikuwaje? Click to expand... Waliishi kwa kutegemea misaada kutoka Tanganyika
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Feb 5, 2025 #123 Na lakini hawatakufa njaa maana tiari bandari yetu tushawapa