msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
ahsante mkuu,maana wanawake wengine hawajielewi kabisa,alitaka kuniharibia siku iseeBIG UP KWA KUTUMIA AKILI MKUU
daaaaaaah kidogo niue mkuu loooh!Hahaha braza una hatari
Hajakuamshia kwa nini ulimtosa??ahsante mkuu,maana wanawake wengine hawajielewi kabisa,alitaka kuniharibia siku isee
tena wife kashangaa yule mtoto alivyojaa barabarani, nikajidai natukana "wasichana wa siku hizi washenzi kweli sijui ni hii mibange yao wanayovuta asubuhi asubuhi" akaitikia wife achana naye mshenzi huyu anataka akupe mikesi ya ajabu ajabu saizi mume wangu....me nikasonya kwa nguuuuvu nyambafuuuuuuu.......huku rohoni natabasabuaha hahahaha weekend ingekuwa ndefu dadeki .. tunavyojua kukumbuka na ya zamani leo lingeamshwa dude ha hahaha
ha hahaha ha safi ila atashtuka j3 akiona anatokea tena ha ahahahahatena wife kashangaa yule mtoto alivyojaa barabarani, nikajidai natukana "wasichana wa siku hizi washenzi kweli sijui ni hii mibange yao wanayovuta asubuhi asubuhi" akaitikia wife achana naye mshenzi huyu anataka akupe mikesi ya ajabu ajabu saizi mume wangu....me nikasonya kwa nguuuuvu nyambafuuuuuuu.......huku rohoni natabasabu
nishamtext akome, na nimemwambia akitokea tena nampigia kelele za mwiziha hahaha ha safi ila atashtuka j3 akiona anatokea tena ha ahahahaha
acha hizo wewe bwananishamtext akome, na nimemwambia akitokea tena nampigia kelele za mwizi
This time atasema "huyu katumwa na mganga nini?''ha hahaha ha safi ila atashtuka j3 akiona anatokea tena ha ahahahaha
ha haha hawachelewi hata kusema anamkonyezagaThis time atasema "huyu katumwa na mganga nini?''
Usianzishe vita ya hivyo na mtoto wa kike. Ikimuuma moyoni hakuna rangi utaacha kuona, kumbuka yeye hana cha kupotezanishamtext akome, na nimemwambia akitokea tena nampigia kelele za mwizi
nishamtext akome, na nimemwambia akitokea tena nampigia kelele za mwizi
Ukiona hivyo ujue ushakulani hivi wakati wife kasafiri kuna mtoto ni kawawa nampa lift for two weeks,sasa juzi wife amerud asubuhi tunaenda zetu job kufika ile mitaa ya yule mtoto ninaposimamaga kumpa lift kwa mbaali naona amesogea barabarani anasimamisha gari!loh imebidi nitumie akili ya kuzaliwa kwanza miguu yote nikaihamishia kwenye accelerator then nikawasha hazard nilimpita mkuku pale nadhani hakuamini kilichotokea!pambafu kabisa...................