msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
ni hivi wakati wife kasafiri kuna mtoto ni kawawa nampa lift for two weeks,sasa juzi wife amerud asubuhi tunaenda zetu job kufika ile mitaa ya yule mtoto ninaposimamaga kumpa lift kwa mbaali naona amesogea barabarani anasimamisha gari!loh imebidi nitumie akili ya kuzaliwa kwanza miguu yote nikaihamishia kwenye accelerator then nikawasha hazard nilimpita mkuku pale nadhani hakuamini kilichotokea!pambafu kabisa...................