msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
- Thread starter
- #21
siku hizi road license imehamia kwenye fuel mkuu nani anakubali huo mzigo hivi hiviUkiona hivyo ujue ushakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku hizi road license imehamia kwenye fuel mkuu nani anakubali huo mzigo hivi hiviUkiona hivyo ujue ushakula
hahahahahahahWanaume akili zenu mnazijua wenyewe
Hahahahahaa Niletee nikusaudie Mkuu, mimi nina TZ11siku hizi road license imehamia kwenye fuel mkuu nani anakubali huo mzigo hivi hivi
yeye nilishamwambia mimi ni baba wa familia kwanini akipewa lift anakaia matako mawili badala ya kuegesha tako moja tu alafu lingine liwe juu juu!Wanaume akili zenu mnazijua wenyewe
hahahah piga ua mkuu!nitacheza naye hili muvi mpaka mwisho starling lazma afe kwenye maua hahahahHahahahahaa Niletee nikusaudie Mkuu, mimi nina TZ11
Asiwe dent tuhahahah piga ua mkuu!nitacheza naye hili muvi mpaka mwisho starling lazma afe kwenye maua hahahah
aaaaaaaaah huko hapafai mkuu,nani anataka kuchezea mvua saiviAsiwe dent tu
Umefanya makosa makubwa sana ....kwa nini hukupita njia nyingine....lakini pia ulitakiwa kumueleza in advance kwamba ...una mke siku akirudi hutombeba tena....that is called a gentlemen's gesture ....ulichofanya ni ukatili unless ulikuwa na evil mind dhidi yakeni hivi wakati wife kasafiri kuna mtoto ni kawawa nampa lift for two weeks,sasa juzi wife amerud asubuhi tunaenda zetu job kufika ile mitaa ya yule mtoto ninaposimamaga kumpa lift kwa mbaali naona amesogea barabarani anasimamisha gari!loh imebidi nitumie akili ya kuzaliwa kwanza miguu yote nikaihamishia kwenye accelerator then nikawasha hazard nilimpita mkuku pale nadhani hakuamini kilichotokea!pambafu kabisa...................
sijui shetani gani alinisahaulisha mkuu!Umefanya makosa makubwa sana ....kwa nini hukupita njia nyingine....lakini pia ulitakiwa kumueleza in advance kwamba ...una mke siku akirudi hutombeba tena....that is called a gentlemen's gesture ....ulichofanya ni ukatili
NANI ANATAKA MASWALI AMBAYO NITASHINDWA KUJIBU HATA MIMI NINGEMPITA AAAHahaaaa si ungempa lift?
hahaha! kumbe part 2 inaendelea jumatatu... ajipange na zuga nyingineha hahaha ha safi ila atashtuka j3 akiona anatokea tena ha ahahahaha
wife wa mkuu anaweza akawa amemsahau, hapo atahitaji story mpyaThis time atasema "huyu katumwa na mganga nini?''
nishamtext akome, na nimemwambia akitokea tena nampigia kelele za mwizi
namba tu mkuu,nani atakubali achome mafuta bure,gari za kanisa zenyewe zinapita watu tu barabaraniKumbe hadi number ulichukua?