Imebidi niwashe hazard

Wanaume akili zenu mnazijua wenyewe
yeye nilishamwambia mimi ni baba wa familia kwanini akipewa lift anakaia matako mawili badala ya kuegesha tako moja tu alafu lingine liwe juu juu!
 
Umefanya makosa makubwa sana ....kwa nini hukupita njia nyingine....lakini pia ulitakiwa kumueleza in advance kwamba ...una mke siku akirudi hutombeba tena....that is called a gentlemen's gesture ....ulichofanya ni ukatili unless ulikuwa na evil mind dhidi yake
 
Umefanya makosa makubwa sana ....kwa nini hukupita njia nyingine....lakini pia ulitakiwa kumueleza in advance kwamba ...una mke siku akirudi hutombeba tena....that is called a gentlemen's gesture ....ulichofanya ni ukatili
sijui shetani gani alinisahaulisha mkuu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ulitumia akili sana,masuala ya kumuudhi wife kisa mchepuko hata mimi nayapinga kwa nguvu zote.
Mke atabaki kua mke
Mchepuko nae atabaki kua chepuko
 
Nimemuonea huruma sana, nadhani siku hiyo alichelewa na fito alichezea pia..... Hebu nielekeze wapi hapo mkuu, nianze kupita mie na scuta yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…