Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora Utd kuwa hiyo ni sauti yake, aliamua kurekodi baada ya kuona hapa kuna kitu cha kijinga.
Ikiwa haya ndiyo yanayoendelea nyuma ya pazia, basi soka letu liko hatarini!
Nawataka TFF na Bodi ya Ligi kuahirisha hii mechi kupisha uchunguzi wa kina juu ya Yanga kupanga matokeo mana inasemekana beki wa kushoto wa Tabora tayari wameshamalizana naye