Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hata kama, ndo mtiwe vitatu?Naona mnalazimisha kuwapa Ukubwa Tabora United ambao hata hawana zaidi ya kutubahatisha mechi ya mzunguko wa kwanza.
Ukiambiwa hivi wewe una susa mpuuziNyuzi zenu ziendane na umri sio jitu zima unaandika pumba kama mwanangu wa chekechea
Khaaa.Hata kama, ndo mtiwe vitatu?
Tunajua kwasasa yanga kawakalia kooni Ile kesi iliyoenda cas itawavuruga sana,,Tabora united hana uwezo wa kumfunga yanga kwa mara ya pili kuanzia ubora wa wachezaji, benchi la ufundi, kiwango vyote hivyo Tabora awezi kufua dafu kwaiyo mnatapatapa kutafuta eneo la kujifichia Tabora akishapigwa,,akuna kiongozi mjinga aende kupanga matokeo kwadizaini iyo inayosemwa hapo mnajitekenya na kucheka wenyeweView attachment 3291092
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo
Ikiwa haya ndiyo yanayoendelea nyuma ya pazia, basi soka letu liko hatarini!
Nawataka TFF na Bodi ya Ligi kuahirisha hii mechi kupisha uchunguzi wa kina juu ya Yanga kupanga matokeo mana inasemekana beki wa kushoto wa Tabora tayari wameshamalizana naye
Anashawishia yeye tu au yeye na demu wake? Maana Watu wa Yanga wanasepa na.Kijiji kama walivyisepa na waganga wa Sumba na wachezaji wao pia na rumbuzi twaoView attachment 3291092
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora Utd kuwa hiyo ni sauti yake, aliamua kurekodi baada ya kuona hapa kuna kitu cha kijinga.
Ikiwa haya ndiyo yanayoendelea nyuma ya pazia, basi soka letu liko hatarini!
Nawataka TFF na Bodi ya Ligi kuahirisha hii mechi kupisha uchunguzi wa kina juu ya Yanga kupanga matokeo mana inasemekana beki wa kushoto wa Tabora tayari wameshamalizana naye
Huyo anayempigia simu ni simbaNaona mnalazimisha kuipa Ukubwa Tabora United ambao hata haina zaidi ya kutubahatisha mechi ya mzunguko wa kwanza.
Acheni upumbavu wenuView attachment 3291092
View attachment 3291101
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora Utd kuwa hiyo ni sauti yake, aliamua kurekodi baada ya kuona hapa kuna kitu cha kijinga.
Ikiwa haya ndiyo yanayoendelea nyuma ya pazia, basi soka letu liko hatarini!
Nawataka TFF na Bodi ya Ligi kuahirisha hii mechi kupisha uchunguzi wa kina juu ya Yanga kupanga matokeo mana inasemekana beki wa kushoto wa Tabora tayari wameshamalizana naye
mbumbumbu banaWe unafikiri kwanini huwa inawachukua miaka zaidi ya 20 kuingia makundi ya klabu bingwa Africa?
D moja tu inaitajika
Tuanze kwanza ile mechi ya Simba anakula goli tano si viongozi wenu walisema kuwa kuna wachezaji wa Simba walinunuliwa vipi lini viongozi wenu wanafungua kesi na kupeleka vithibitisho?View attachment 3291092
View attachment 3291101
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora Utd kuwa hiyo ni sauti yake, aliamua kurekodi baada ya kuona hapa kuna kitu cha kijinga.
Ikiwa haya ndiyo yanayoendelea nyuma ya pazia, basi soka letu liko hatarini!
Nawataka TFF na Bodi ya Ligi kuahirisha hii mechi kupisha uchunguzi wa kina juu ya Yanga kupanga matokeo mana inasemekana beki wa kushoto wa Tabora tayari wameshamalizana naye
Sa sijui wanapata faida gani aisee zaidi ya kuichafua Yanga.Huyo anayempigia simu ni simba
Wameshajua Tabora hatoboi leo.Acheni upumbavu wenu
Hakuna mtu anaweza kushawishi katika mpira kwa kupiga simu. Huu ni upuuzi, hao ni simba wanataka kuwadhalilisha Yanga tuNa ndio sababu anajing'atang'ata hata haeleweki.
Kweli kabisa Mkuu.Hakuna mtu anaweza kushawishi katika mpira kwa kupiga simu. Huu ni upuuzi, hao ni simba wanataka kuwadhalilisha Yanga tu
Halafu Mkuu wa Mkoa anaingia kingi. Siku hizi hata viongozi wana utoto mwingi. Mkuu wa mkoa ambaye PCCB wapo chini yake, anapata taarifa za rushwa badala ya kukamata anaropoka katika media! Siku hizi vijana hamna tena miiko ya uongozi. Cheap politics tuKweli kabisa Mkuu.