🚮View attachment 3291092
View attachment 3291101
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora Utd kuwa hiyo ni sauti yake, aliamua kurekodi baada ya kuona hapa kuna kitu cha kijinga.
Ikiwa haya ndiyo yanayoendelea nyuma ya pazia, basi soka letu liko hatarini!
Nawataka TFF na Bodi ya Ligi kuahirisha hii mechi kupisha uchunguzi wa kina juu ya Yanga kupanga matokeo mana inasemekana beki wa kushoto wa Tabora tayari wameshamalizana naye
Simba wavurugwe na magaidi ? [emoji23] Watu wanaotishia watu kuwaua ? Nyie mtapambana na CAS wenyewe na zaidi mkono wa Dola mana tunaona hamtaki mpira mnataka kufanya uhalifu na ugaidi na kutishia kuua.Tunajua kwasasa yanga kawakalia kooni Ile kesi iliyoenda cas itawavuruga sana,,Tabora united hana uwezo wa kumfunga yanga kwa mara ya pili kuanzia ubora wa wachezaji, benchi la ufundi, kiwango vyote hivyo Tabora awezi kufua dafu kwaiyo mnatapatapa kutafuta eneo la kujifichia Tabora akishapigwa,,akuna kiongozi mjinga aende kupanga matokeo kwadizaini iyo inayosemwa hapo mnajitekenya na kucheka wenyewe
Kwa kutoa damu za ngo'ombe 40?Wameshajua Tabora hatoboi leo.
Na wewe Katoe kama ni rahisiKwa kutoa damu za ngo'ombe 40?
Unawataka waahirishe mechi kama nani?View attachment 3291092
View attachment 3291101
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora Utd kuwa hiyo ni sauti yake, aliamua kurekodi baada ya kuona hapa kuna kitu cha kijinga.
Ikiwa haya ndiyo yanayoendelea nyuma ya pazia, basi soka letu liko hatarini!
Nawataka TFF na Bodi ya Ligi kuahirisha hii mechi kupisha uchunguzi wa kina juu ya Yanga kupanga matokeo mana inasemekana beki wa kushoto wa Tabora tayari wameshamalizana naye
Nyie mlikimbia waacheni wenzenu walio kubali kucheza na kila mtu ashinde mechi zake.View attachment 3291092