Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kiukweli katika wanawake ambao Mavoko anawapenda sana basi Gigy Money anaongoza.
Lakini kwa mujibu wa Gigy Money anadai aliachana na Mavoko kwa sababu Mavoko anakibamia halafu ni goi goi kitandani yaani alikuwa hamsugui akaridhika.
Sasa kimbembe kikaja baada ya kuachana Mavoko alikuwa akisikia wivu sana jinsi Gigy Money alivyokuwa anajilengesha lengesha kwa Mondi na kumuahidi yupo tayari kumpa hata vya uvunguni ili mradi tu apate bahati ya kulala na Mondi.
Kauli hii ilikuwa ikimtesa sana Mavoko akaanza kumchukia sana Mondi na kuamua kujitenga tenga hovyo na Mondi na hata kucheka naye akawa anacheka naye tu hivyo hivyo ili mradi mwisho wa siku ndio kama hivyo ameamua na kuhama kabisa wasafi ili asizidi kuumia.