Imefichukaaaaaaaa wivu wa mapenzi ndio sababu kubwa iliyomtoa Mavoko Wasafi

Hivi kumbe nae giggy ni mwanamke wa haja anayesababisha mpaka mtu ahame label na kuwa solo artist?Mavoko ana familia kweli anawez chukua sababu nyepesi kwa mtu kama giggy?mhhhh
Hebu tupiamo kapicha kako tukulinganishe na gigy tuone nani mkali,usikute sura ka bi kidude ila unamponda gigy kuwa eti sio mwanamke
 
Kiukweli katika wanawake ambao Mavoko anawapenda sana basi Gigy Money anaongoza.

Lakini kwa mujibu wa Gigy Money anadai aliachana na Mavoko kwa sababu Mavoko anakibamia halafu ni goi goi kitandani yani alikuwa hamsugui akaridhika.

Sasa kimbembe kikaja baada ya kuachana Mavoko alikuwa akisikia wivu sana jinsi Gigy Money alivyokuwa anajilengesha lengesha kwa Mondi na kumuahidi yupo tayari kumpa hata vya uvunguni ili mradi tu apate bahati ya kulala na Mondi.

Kauli hii ilikuwa ikimtesa sana Mavoko akaanza kumchukia sana Mondi na kuamua kujitenga tenga hovyo na Mondi na hata kucheka naye akawa anacheka naye tu hivyo hivyo ili mradi mwisho wa siku ndio kama hivyo ameamua na kuhama kabisa wasafi ili asizidi kuumia.
Wewe ni dada yake?
 
How old are you??
 
Joowzey huelewekagi wewe,ila jua tu mimi ni mwanamke zaidi ya giggy kwa muonekano wa nje, wa ndani na kikubwa zaidi kichwani hanikuti
Hebu tupiamo kapicha kako tukulinganishe na gigy tuone nani mkali,usikute sura ka bi kidude ila unamponda gigy kuwa eti sio mwanamke
 
Ninawasiwasi na malinda ya mtoa mada.
 
Hivi mbona nguvu kubwa inatumika kum discredit mavoko, kama alivyokua na haki ya kuingia WCB hana haki ya kutoka?
 
Kiukweli katika wanawake ambao Mavoko anawapenda sana basi Gigy Money anaongoza.

Lakini kwa mujibu wa Gigy Money anadai aliachana na Mavoko kwa sababu Mavoko anakibamia halafu ni goi goi kitandani yani alikuwa hamsugui akaridhika.

Sasa kimbembe kikaja baada ya kuachana Mavoko alikuwa akisikia wivu sana jinsi Gigy Money alivyokuwa anajilengesha lengesha kwa Mondi na kumuahidi yupo tayari kumpa hata vya uvunguni ili mradi tu apate bahati ya kulala na Mondi.

Kauli hii ilikuwa ikimtesa sana Mavoko akaanza kumchukia sana Mondi na kuamua kujitenga tenga hovyo na Mondi na hata kucheka naye akawa anacheka naye tu hivyo hivyo ili mradi mwisho wa siku ndio kama hivyo ameamua na kuhama kabisa wasafi ili asizidi kuumia.
Tulia basi uwe unaandika nyuz zinazoeleweka hata watu siriaz wanawez Kukuelewa
 
Back
Top Bottom