Imefichukaaaaaaaa wivu wa mapenzi ndio sababu kubwa iliyomtoa Mavoko Wasafi

Imefichukaaaaaaaa wivu wa mapenzi ndio sababu kubwa iliyomtoa Mavoko Wasafi

Kiukweli katika wanawake ambao Mavoko anawapenda sana basi Gigy Money anaongoza.

Lakini kwa mujibu wa Gigy Money anadai aliachana na Mavoko kwa sababu Mavoko anakibamia halafu ni goi goi kitandani yani alikuwa hamsugui akaridhika.

Sasa kimbembe kikaja baada ya kuachana Mavoko alikuwa akisikia wivu sana jinsi Gigy Money alivyokuwa anajilengesha lengesha kwa Mondi na kumuahidi yupo tayari kumpa hata vya uvunguni ili mradi tu apate bahati ya kulala na Mondi.

Kauli hii ilikuwa ikimtesa sana Mavoko akaanza kumchukia sana Mondi na kuamua kujitenga tenga hovyo na Mondi na hata kucheka naye akawa anacheka naye tu hivyo hivyo ili mradi mwisho wa siku ndio kama hivyo ameamua na kuhama kabisa wasafi ili asizidi kuumia.
Atakaye amini huu udaku akapimwe mkojo
 
Aisee..basi sawa vipi huko insta dada mange yeye anasemaje
 
Yaani wasanii wa Bongo bhaana wanasikitisha sana!
Yaani Giggy anaweza kukutoa kwenye reli kabisa?
 
Back
Top Bottom