Pre GE2025 Imefika Mahali kama Taifa tunakuwa hivi? Yaani Mbowe mmoja akikohoa Nchi inatetemeka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata Mbowe akiondoka hakuna kipya ambacho CHADEMA watafanya kikubaliwe na CCM na serikali yake!
Very True matakwa ya chadema ni consistent kutafuta Suluhu ya Kuinua Taifa.

Itaendelea kuungwa mkono na Wananchi daima na daima.
 
Hivi Mbowe atastaafu lini uenyekiti?
Fikra zake zimefika mwisho,
Chadema hivi ilivyo ni kwa sababu mwenye kiti uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho

Tunataka mwenyekiti mpya
Mwenye mawazo mapya
Ccm wanamtaka?
 
Watawala walete katiba tu vinginevyo tutaandika katiba kutokea MOI
 
Ni muda wahafidhina ndani ya chama Cha mboga mboga na kwenye vyombo vya dola,watambue zama zimebadilika hivyo Kuna muda lazima ukubali mabadiliko katika jamii.Huwezi kung'ang'ani mfumo fulani kila uchwao kisa wewe ni mnufaika tujifunze kwa Libya nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…