Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
crdb wazinguz nataka niuze zoteChagua kampuni vizuri,ukichagua CRDB,tutafanana,hayeshi majuto yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
crdb wazinguz nataka niuze zoteChagua kampuni vizuri,ukichagua CRDB,tutafanana,hayeshi majuto yetu.
Tena laki tano nyingi,unaweza kuambulia hata laki 2.kuzika milioni kumi kusubiri gawio la laki tano baada ya miezi 12 kila la kheri mkuu
bora kuwekeza kwenye bond, share wanaweza wakaamua wasiwape gawio waka retain na company ikifa mamilioni yako ndio yamepotelea hewani.kuzika milioni kumi kusubiri gawio la laki tano baada ya miezi 12 kila la kheri mkuu
Hawana maana kabisacrdb wazinguz nataka niuze zote
Wadai wakubwa kwanza ninyi wadogo Mungu atawalipa mkifika kwakeKampuni ikifa si kila mtu anagawiwa chake mkuu au?
Mimi pia nasubiri jibu hapaHabari wana jukwaa,
Hapa nahitaji ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu masuala ya hisa za kampuni. Mimi nipo katika mchakato wa kuanzisha startup - lakini nahitaji kupata ufahamu juu ya masuala kadhaa, ikiwemo hili la hisa. Kuna uzi huu niliuliza kuhusu mgawanyo wa hisa. Lakini sijapata mtu ambaye yupo deep ambae ameweza kujibu kwa uhakika. Sasa ninachohitaji kufahamu ni:
Nikiamini nimeeleweka, naomba kuwasilisha.
- Kwa kuzingatia utofauti wa AUTHORIZED SHARES, ISSUED SHARES na OUTSTANDING SHARES; Kuna uhusiano gani kati ya ISSUED SHARES na MTAJI WA KAMPUNI. I mean kwa mfano; Issued shares tuseme ni 10,000 zenye value ya TZS 20,000 each, Je; ni lazima kwenye vitabu vya mahesabu vya kampuni ionekane hiyo TZS 200,000,000.00? Au unaweza ukawa na issued shares zenye thamani kubwa kwenye MEMART, wakati mtaji halisi ulionao ni aslimia 10 tu ya mtaji ulioonesha kwenye MEMART?
In case swali lipo complicated; ngoja tujaribu hivi...
- MEMART na TRA kuna mahali hivi vitu viwili vinakutana? Let's say ume-indicate kwenye MEMART kwamba una mtaji (Issued shares) wa TZS 1,000,000,000.00; Je, katika ukaguzi wa mahesabu hiyo itatazamwa pia?
#Virus
Unataka kuwekeza sehemu hata jina hujui? Unaandika kama mtoto wa awali
Taifa la kesho linavunda