Imefikia mahali kunywa juice za dukani ni hatarishi kwa afya yako kuliko kunywa soda!

Huwa nawaambia watu, wewe chunga mwenyewe afya yako. Kama unategemea govt iliyolala ikusaidie pole sana. Ni siasa tu.
 
kwanza hamna juis ya matunda halisi ikauzwa 500 au 1500. uongo
 
Nataka nione sehemu inayosema huyu mtu pichani amekuwa hivyo baada ya kunywa juisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…