Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ndugu zangu sukuma gang poleni sana. Najua mmeumia sana. Ila huo ndo mchezo wa siasa ulivyo.
Watu wali mu underestimate sana Samia kuhusu uwezo wake wa kufanya siasa. Sasa mmejionea kwa chenga ya mwili aliyowapiga kule Dodoma wote mliokuwa mnapanga kumuangusha kupitia mchakato wa ndani ya chama.
Vyovyote vile, lililotokea limetokea, na sioni shida yeyote kwa kuwa Samia hajajichagua, amechagulia na azimio la mkutano halali kabisa wa chama. Hivyo imeisha hiyo.
Tukirudi kwenye jambo la msingi, nchi hii tatizo sio Samia, tatizo sio CCM. Tatizo ni Katiba yetu ambayo inatengeneza mtu ambaye ni mungu mdogo.
Yote yanayotokea alafu watu mnaishia kuumia tu bila kufanya chochote shida kuu ni Katiba tuliyonayo iliyotengeneza mungu mdogo mwenye nguvu sana ambaye mifumo haiwezi kumwambia wala kumfanya chochote.
The best way foward kuanzia sasa ni Upinzani kupata mtu makini ambaye atasimamia ipasavyo harakati za kupata Katiba Mpya iliyo bora inayojenga mifumo imara na kuweka nidhamu kwa wanasiasa kuiheshimu.
Mtu pekee kwa sasa ninayemuona ana akili na upeo mkubwa kuongoza mapambano ya kupata Katiba Mpya iliyo bora ni Tundu Antipass Lissu.
Tuwaombee sana CHADEMA wasirubunike kumpa uenyekiti Mbowe kwa sababu Mbowe akiwa mwenyekiti wa Chadema, it's obvious hata Katiba atakayotuletea Samia itakuwa ya hovyo sana.
Tuiombee sana CHADEMA watuletee TUNDU ANTIPASS LISSU aongoze haya mapambano ya kupata Katiba iliyo bora ili nchi yetu iweze kuondokana na siasa uchwara.
Lord denning
Pataya, Thailand