Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] [emoji16]Hapo we na paka mna tofauti gani?maana wote mmepewa ofa hamjanunua kwa pesa zenu
Haha yaonekana chakula ulichokuwa umepewa wewe offer hakifikii garama ya huyo samaki😂😂Wazungu wana mambo ya ajabu sana, wacha nikupe mkasa nilioshuhudia leo
Mida ya lunch leo kuna rafiki yangu kazini katutoa lunch rafiki zake twende hotelini kupiga msosi.
wakati tunapiga msosi maeneo ya wazi nyuma ya hoteli, tukawa tunamshangaa mzungu flani yupo na paka wa pale hotelini wanacheza, mzungu alikuwa anampapasa manyoya huyo paka, tulishangaa maana paka yule alikuwa wahapo hotelini hata sijui kama anasafishwaga
Sasa kumbe mda huo nadhani alikuwa kaweka order ya samaki wa kukaanga\
tukamona waiter anamplelekea samaki mbili kubwa kiasi, tukataniana mzungu ana njaa kali.
LA HAULA!!! Samaki moja aliwekwa chini kwenye kimfunikocha ndoo paka akaanza kufaidi samaki kimasihara.
Haikutosha hivyo lakini paka anapoendelea kupata hio lishe adim, mzungu alikuwa bado anamkuna kuna kichwani guju paka akiendelea kumfanyia samaki umafia
Kwa hali hii hawa wenzetu unaweza kumtoa out na kugharamia msosi wa gharama ukaishia kumuhudumia paka
Nadhani ni muda sasa sgeria ziweke wazi kuna binadamu kupata mlo mmoja tu ni kazi, yafaa angenunulia hata watu wenye shida huyo samaki kuliko kumpa paka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetisha mkuu.Wetu wanyama pia wana haki wewe ukitaka uone maajabu nenda zanzibar forodhan pale paka wanawakimbilia wazungu ila mswahili wanakukaushia kabisa hawa wadudu si bure..😀😀
Aje mombasa tumpe ofa na kumpapasaAiseee!
Yaani we umepewa ofa halafu unamwonea wivu paka ambaye naye kapewa ofa, itakuwa nawe ulitamani kupapaswa manyoya!!
Jiepushe na ofa bwa’mdogo.
_Aiseee!
Yaani we umepewa ofa halafu unamwonea wivu paka ambaye naye kapewa ofa, itakuwa nawe ulitamani kupapaswa manyoya!!
Jiepushe na ofa bwa’mdogo.
Umekosea mkuu, paka ndio hupendwa kutumika na wanga, Mbwa ndio haivani kabisa na wangaPaka ana umuhimu sana usiku anaona vitu ambavyo wewe huoni na anakulinda bila wewe kujua!
Aiseee!
Yaani we umepewa ofa halafu unamwonea wivu paka ambaye naye kapewa ofa, itakuwa nawe ulitamani kupapaswa manyoya!!
Jiepushe na ofa bwa’mdogo.
Kweli kuna mkaka mmoja alioaga huko. Alitusimumia kujuta kuoa mzungu, alisema akienda kutembea ukweni hawana time nae, yaani jinsi wanavyo hudumia paka wao ni tofauti wanavyo mjali yeye.muda mwingi wako busy na.paka😂😂😂😂Mkuu kule U.S hasa hasa kule Minnesota, Wisconsin na Michagan,paka na mbwa ni watoto,ni sehemu ya familia