Imekaaje hii. Najikuta nachukia tu kuona house girl anapoongea na mabwana zake kwenye simu

Unateseka na huwaambii, huwa unaishia kufanya nini?

Wahakikishie tu utawapa wanachoki-pacha pachia hutojuta.
 
Kaka asikuambie mtu, hio ni Hali ya wanaume wote
 
Mkuu trust me unasumbuliwa na wivu,Kuna kitu unaona hao mabwana wa shemeji na house girl wako wamafaidi,Kuna namna unatamani nafasi hiyo ingekuwa yako kisa tu Kuna vitu unawahudumia!!!

Ok fine tuchukulie huna wivu ,Ila sio vizuri kwa mtu aliyechini yako kufanya mawasiliano ambayo Ni ya kimapenzi ilihali bado mahusiano hayo sio rasmi!!!

Mwisho mwambie mkeo aongee na hao mabinti wasiwe wanafanya mawasiliano ya kimahaba mbele yako au mbele ya watu walowazidi umri,na sioni haja ya wewe kuwafukuza.

Kwangu Wakati na lala na mabinti nyumba moja ilikuwa Ni marufuku kuongea na simu muda wa usiku,na chart zake azifanye bila kuingilia Uhuru wangu Kama baba wa familia,
 

Kama we mwanaume hizo ni dalili za mwanzo za kuwa shoga - wivu wa kike
 
una wivu wa kimaskini

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Eti unalisha una valisha wanapendeza...
Kama unadhani hao ni ngombe ama mbuzi chinja(wale wewe).

Uko na wivu nakushauri achana nao mind your own things....

Tena wakitendwa uwashauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…