MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Bunge la Uruguay limepitisha mswada wa kuhalalisha bangi Wabunge 50 kati ya 96 walipitisha mswada huo. Wanaotetea kuhalalishwa kwa bangi wamesema vita dhidi ya mihadarati havijapiga hatua na ipo haja kuweka mbinu mpya.. Sababu ni kuwafanya watumizi wa bangi kutotumia dawa kali za kulevya.
NB:Chini ya mswada huo ni serikali pekee itakua na kibali cha kuuza bangi.
Wanunuzi wote watanakiliwa kwenye daftari maalum na sharti wawe wametimiza miaka 18 na zaidi. Mteja anaweza tu kununua kilo 40 kwa mwezi kutoka kwa maduka ya dawa au kukuza mimea sita ya bangi.
JE , Hii imekaaje wadau, ikizingatiwa kuwa na sisi bongo tunasumbuliwa sana na kidudu mtu wa matumizi ya madawa ya kulevya ikiwemo bange. Toa maoni yako kwa hii kitu ya maajabu duniani.
Source: BBC SWAHILI.