Imekaaje hii wadau: Uruguay yawa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha matumizi ya bangi.

Imekaaje hii wadau: Uruguay yawa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha matumizi ya bangi.

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,093
Reaction score
7,229
Bunge la Uruguay limepitisha mswada wa kuhalalisha bangi Wabunge 50 kati ya 96 walipitisha mswada huo. Wanaotetea kuhalalishwa kwa bangi wamesema vita dhidi ya mihadarati havijapiga hatua na ipo haja kuweka mbinu mpya.. Sababu ni kuwafanya watumizi wa bangi kutotumia dawa kali za kulevya.
NB:Chini ya mswada huo ni serikali pekee itakua na kibali cha kuuza bangi.
Wanunuzi wote watanakiliwa kwenye daftari maalum na sharti wawe wametimiza miaka 18 na zaidi. Mteja anaweza tu kununua kilo 40 kwa mwezi kutoka kwa maduka ya dawa au kukuza mimea sita ya bangi.

JE , Hii imekaaje wadau, ikizingatiwa kuwa na sisi bongo tunasumbuliwa sana na kidudu mtu wa matumizi ya madawa ya kulevya ikiwemo bange. Toa maoni yako kwa hii kitu ya maajabu duniani.

Source: BBC SWAHILI.
 
hahahaha........
wamehalalisha lilambo.
Bei yake itashuka, itakuwa sio bidhaa adimu tena, wameharibia watu biashara.
 
Kilo 40 kwa mwezi? Sii sawa, hapo lazima kufyatuka!
 
Bongo wanajifanya kuzuia bangi na gongo ingawa hii bidhaa kila siku iko mtaani nahaijawahi kosekana, Ukienda kenya ambapo Mirungi ni bidhaa kule haitumiki sana kama Bongo ambapo ni kosa kubwa sana kukamatwa n mirungi
 
Mkuu una data au unaongea kimazoea tu?
 
hahahaha........
wamehalalisha lilambo.
Bei yake itashuka, itakuwa sio bidhaa adimu tena, wameharibia watu biashara.
ahahahaa.... itakuwa ni bidhaa inayoleta upinzani wa dhati katika mfumo wa soko huria hasa huko Uruguay kwani nadhani na serikalai itazingatia kigezo cha "value for money".
 
Kilo 40 kwa mwezi? Sii sawa, hapo lazima kufyatuka!
Hakika itawabidi watengeneze mirembe za kutosha na kiasi kikubwa cha ugali kwani wantabia ya kula kilo 2 au zaidi kwa mtu mmoja, pamoja na ku train green guard /militia wa kutosha ili kukabiliana na wimbi la wehu katika kipindi cha siku chache zijazo kwani suitashangaa sana kuona uruguay inakuwa nchi ya kwanza duniani kwa machizi/ wehu wa bange .
 
Bongo wanajifanya kuzuia bangi na gongo ingawa hii bidhaa kila siku iko mtaani nahaijawahi kosekana, Ukienda kenya ambapo Mirungi ni bidhaa kule haitumiki sana kama Bongo ambapo ni kosa kubwa sana kukamatwa n mirungi
kweli kabisa bangugu, ngoja tuone matokeo ya hii kitu kutoka kwa uruguay , kwani sitashangaa kuona wawekezaji wa bange wakiminika kwa wingi nchini kutoka uruguay kuja kuwekeza katika kilimo cha bange ili waipeleke nchini kwao na hiyo itasaidia ku promote swera ya kilimo kwanza,.
 
Napataga wakat mgumu sana kuamin bhange ni madawa ya kulevya! Bt sishauri mtu atumie esp walio below 21 yrs!
 
Naona wapiga deal wa dawa za kulevya kutoka Tanzania watachangamkia hii opportunity....
 
Unasema imekuwa nchi ya kwanza duniani? Mbona Bangi katika nchi kama Uholanzi ni halali? Tena inauzwa kabisa kwenye cafe zao ambazo wanaziita Coffee shops. Sharti lao ni moja tu kwamba unatakiwa uivute humohumo ndani ya coffee shop, huruhusiwi kutoka nayo nje. Uholanzi aina zote za madawa ya kulevya yamehalalishwa. Wewe unasema Uruguay nchi ya kwanza?
 
Bunge la Uruguay limepitisha mswada wa kuhalalisha bangi Wabunge 50 kati ya 96 walipitisha mswada huo. Wanaotetea kuhalalishwa kwa bangi wamesema vita dhidi ya mihadarati havijapiga hatua na ipo haja kuweka mbinu mpya.. Sababu ni kuwafanya watumizi wa bangi kutotumia dawa kali za kulevya.
NB:Chini ya mswada huo ni serikali pekee itakua na kibali cha kuuza bangi.
Wanunuzi wote watanakiliwa kwenye daftari maalum na sharti wawe wametimiza miaka 18 na zaidi. Mteja anaweza tu kununua kilo 40 kwa mwezi kutoka kwa maduka ya dawa au kukuza mimea sita ya bangi.

JE , Hii imekaaje wadau, ikizingatiwa kuwa na sisi bongo tunasumbuliwa sana na kidudu mtu wa matumizi ya madawa ya kulevya ikiwemo bange. Toa maoni yako kwa hii kitu ya maajabu duniani.

Source: BBC SWAHILI.
Kwa saikoloji ya ya kawaida ya binadamu,ukishakiruhusu kitu hata kama kilikuwa haramu ,watu watakiona ni cha kawaida sana kwa kuwa kunakuwa hakuna excitement tena!!!ule uharamu wake ndio utamu wake! believe me! kwa hiyo hata matumizi yake yatakuwa ya chini
 
Kwani hamkumbuki hata hapa kuna Mbunge mmoja alisema kwamba Bangi ihalalishwe kwao Iringa,maana wao kwao ni Chakula yaani mboga na pia ni Dawa.

Yanakuja kidogokidogo,

Kuna siku mtaambiwa Bangi Antibiotic,hapo chacha
 
Kwa saikoloji ya ya kawaida ya binadamu,ukishakiruhusu kitu hata kama kilikuwa haramu ,watu watakiona ni cha kawaida sana kwa kuwa kunakuwa hakuna excitement tena!!!ule uharamu wake ndio utamu wake! believe me! kwa hiyo hata matumizi yake yatakuwa ya chini
kwahiyo na ufisadi tukiuhalalisha nao unaweza kupungua kwa kiwangio kikubwa? kulingana na hiyo philosophy uliyoiweka hapo.
 
Napataga wakat mgumu sana kuamin bhange ni madawa ya kulevya! Bt sishauri mtu atumie esp walio below 21 yrs!

mmhhh... mdau au na wewe ni wale wale wa aisifuye mvua......, yawezekana ukawa una mtizamo kama wa jamaa wa uruguay. kama vipi tuombe uraia wa nchi mbili uruhusiwe walau twaweza kwenda kufaidi matunda ya sheria hii mpya huko uruguay, au vipi?
 
Viva prezidaa José Alberto "Pepe" Mujica Cordano...
nadhani wewe jamaa utakuwa na furaha xana endapo kipengele cha uraia wa nchi mbili kitaporuhusiwa kwani bila shaka kwa ushahidi dhahiri (basing on the prove beyond reasonable doubt) utachagua Uruguaya kwa bwana Jose Albeto kuwa sehemu yako mbadala ya makazi kwni sheria zake zitakuwa zinakupa "haki yako pendwa", ni maoni tu.
 
Naona wapiga deal wa dawa za kulevya kutoka Tanzania watachangamkia hii opportunity....
Hakika wako radhi wailete sheria hii hapa kwetu hata kwa kutumia ile mbinu waliyotumia kutuletea tozo la sim card au kile kipengele kilichokuwa kinasema tupewe malimbikizo yetu ya nssf pindi tuna staafu , hakika watacheka na kwenda kuvunja kamati "maeneo ya tayokuwa yametundikwa viatu juu ya nyaya za umeme".
 
Back
Top Bottom