Imekaaje hii wadau: Uruguay yawa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha matumizi ya bangi.

Imekaaje hii wadau: Uruguay yawa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha matumizi ya bangi.

Unasema imekuwa nchi ya kwanza duniani? Mbona Bangi katika nchi kama Uholanzi ni halali? Tena inauzwa kabisa kwenye cafe zao ambazo wanaziita Coffee shops. Sharti lao ni moja tu kwamba unatakiwa uivute humohumo ndani ya coffee shop, huruhusiwi kutoka nayo nje. Uholanzi aina zote za madawa ya kulevya yamehalalishwa. Wewe unasema Uruguay nchi ya kwanza?
uuuwiiiii...mbona mabwaku xaxa, hakika tembea uone mengi , mbona hiyo nchi ni nzuri walau kwenda kuomba hifadhi ya kisiasa au (kama mmkimbizi ) aliyekuwa adcted na ganja . hakika hizi sheria ipo siku zitafika hadi huku kwetu na kuwa miongoni mwa sheria mama.
 
Bangi ni mmea kama mimea mengine, tatizo ni pale unapoutumia vibaya.

Mimi natumia majani ya bangi kuchanganya na udi wa kujifukizia, swaaaafi kabisa.
 
Bangi ni mmea kama mimea mengine, tatizo ni pale unapoutumia vibaya.

Mimi natumia majani ya bangi kuchanganya na udi wa kujifukizia, swaaaafi kabisa.
kama ambavyo mimi huwa natumia mbegu zake kama kiungo cha mboga, na kamba zitokanazo na magome yake nazitumia kushonea mikeka. Serikali inatunyanyasa sana na mashariti yake dhidi ya bangi. Wanaacha kuwadhibiti wavutaji, wanakuja kutudhibiti wakulima. Mbona sigara ina madhara, lakini wameiruhusu tumbaku ilimwe?
 
Naona wapiga deal wa dawa za kulevya kutoka Tanzania watachangamkia hii opportunity....

Mkuu kwani na hii inaweza kusafirishwa kwa mtu kuimeza kama kete za Heroin??
 
wajua hiii kitu ya bange
kwetu ni mboga tena mboga pendwa , kama vip serikali ihalalishe kilimo
na matumiozi ya bange. nadhani huyu bwana Ally alikuwa na idea ya mswada
wa uruguay.

kwi kwi kwiiiiiii
 
Kwenye kipengele cha mirungi na ulinganisho wa matumizi yake kati ya kenya na Tanzania.

Tanzania Mirungi inatumika sana kenya sana sana ni Wasomali ndo wanao tumia, Bongo kuanzia Arusha, Moshi, Tanga, Dar, Moro mpaka Mbeya mirungi inaliwa sana
 
hawna kosa! maana 90% ya raia wanavuta bange wakiwemo wanawake wazee na watoto! hata sisi tunakaribia kuhalalisha rushwa, maana 99% ya watanzania wakitaka haki zao lazima watoe rushwa. Utashangaa nini hapo? Jambo likiisha vuka mila na desturi zenu, lazima lihalalishwe!
 
Tanzania Mirungi inatumika sana kenya sana sana ni Wasomali ndo wanao tumia, Bongo kuanzia Arusha, Moshi, Tanga, Dar, Moro mpaka Mbeya mirungi inaliwa sana

Hizi ndio unaita data?? Chasha wewe ni bora zaidi ya hapa. Mimi nimesoma mabandiko yako mengi humu na huwa nayakubali lakini sikutegemea uniambie una data halafu unatoa kauli za jumla jumla kama hizi.
 
Last edited by a moderator:
huo uchawi sasa.

Tatizo lako uko finyu sana na bado huna GK ya kutosha, laiti ungelijuwa kuwa "perfumes" nyinginezo za uhakika duniani zinatumia "extracts" za mmea huo ili kupata manukato yake usingelifikiria kuwa huo ni uchawi.

Kuwa, ukikuwa utayajuwa.
 
Back
Top Bottom