MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
- Thread starter
- #21
uuuwiiiii...mbona mabwaku xaxa, hakika tembea uone mengi , mbona hiyo nchi ni nzuri walau kwenda kuomba hifadhi ya kisiasa au (kama mmkimbizi ) aliyekuwa adcted na ganja . hakika hizi sheria ipo siku zitafika hadi huku kwetu na kuwa miongoni mwa sheria mama.Unasema imekuwa nchi ya kwanza duniani? Mbona Bangi katika nchi kama Uholanzi ni halali? Tena inauzwa kabisa kwenye cafe zao ambazo wanaziita Coffee shops. Sharti lao ni moja tu kwamba unatakiwa uivute humohumo ndani ya coffee shop, huruhusiwi kutoka nayo nje. Uholanzi aina zote za madawa ya kulevya yamehalalishwa. Wewe unasema Uruguay nchi ya kwanza?