uuuwiiiii...mbona mabwaku xaxa, hakika tembea uone mengi , mbona hiyo nchi ni nzuri walau kwenda kuomba hifadhi ya kisiasa au (kama mmkimbizi ) aliyekuwa adcted na ganja . hakika hizi sheria ipo siku zitafika hadi huku kwetu na kuwa miongoni mwa sheria mama.Unasema imekuwa nchi ya kwanza duniani? Mbona Bangi katika nchi kama Uholanzi ni halali? Tena inauzwa kabisa kwenye cafe zao ambazo wanaziita Coffee shops. Sharti lao ni moja tu kwamba unatakiwa uivute humohumo ndani ya coffee shop, huruhusiwi kutoka nayo nje. Uholanzi aina zote za madawa ya kulevya yamehalalishwa. Wewe unasema Uruguay nchi ya kwanza?
kama ambavyo mimi huwa natumia mbegu zake kama kiungo cha mboga, na kamba zitokanazo na magome yake nazitumia kushonea mikeka. Serikali inatunyanyasa sana na mashariti yake dhidi ya bangi. Wanaacha kuwadhibiti wavutaji, wanakuja kutudhibiti wakulima. Mbona sigara ina madhara, lakini wameiruhusu tumbaku ilimwe?Bangi ni mmea kama mimea mengine, tatizo ni pale unapoutumia vibaya.
Mimi natumia majani ya bangi kuchanganya na udi wa kujifukizia, swaaaafi kabisa.
Mkuu una data au unaongea kimazoea tu?
Naona wapiga deal wa dawa za kulevya kutoka Tanzania watachangamkia hii opportunity....
Kwenye kipengele cha mirungi na ulinganisho wa matumizi yake kati ya kenya na Tanzania.YA Ninazo Data, na sijui unataka Data za kwenye nini hasa
wajua hiii kitu ya bange
kwetu ni mboga tena mboga pendwa , kama vip serikali ihalalishe kilimo
na matumiozi ya bange. nadhani huyu bwana Ally alikuwa na idea ya mswada
wa uruguay.
Kwenye kipengele cha mirungi na ulinganisho wa matumizi yake kati ya kenya na Tanzania.
Tanzania Mirungi inatumika sana kenya sana sana ni Wasomali ndo wanao tumia, Bongo kuanzia Arusha, Moshi, Tanga, Dar, Moro mpaka Mbeya mirungi inaliwa sana
Bangi ni mmea kama mimea mengine, tatizo ni pale unapoutumia vibaya.
Mimi natumia majani ya bangi kuchanganya na udi wa kujifukizia, swaaaafi kabisa.
huo uchawi sasa.