Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ya figo unaijua lakini? Yaani hakuna uwekezaji wowote ukilingisha na kilimo au madini.
Halafu inawezekana kila nchi Africa watu wameenda kuulizia bei kwenye hospital zao ila issue ni kuwa hospital zao zimekaa kimya au hatuna access na habari za nchi hizo
Aheri hawa wanauza figo kuliko wanaume wa Kenya wanaokilimbilia kuolewa Ulaya na America.maisha ni magum sana ndani ya Tanzania. heri wao wamejitokeza bila soni bila haya na kuweka mambo wazi.
wapo wengi wanaoteseka na wamekosa namna ya kujitokeza wanasubiria kufa tu.
katika hii dunia, kuna watu wanaoishi na pia vilevile kuna wasindikizaji
Aheri hawa wanauza figo kuliko wanaume wa Kenya wanaokilimbilia kuolewa Ulaya na America.
heb check hapa mkuu, usiichukulie poa 👇Figo mbili ni matumizi mabovu ya viungo
heb check hapa mkuu, usiichukulie poa [emoji116]View attachment 2148683
heb check hapa mkuu, usiichukulie poa 👇View attachment 2148683
umaskini ni kitu kibaya sana aisee. heri wewe ni Tajiri KichwaSasa si bado kifo hapo
Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi... Tatizo nini haswa
Umasikini Tanzania upo lakini sio wa kiwango cha Kenya mpaka watu wanakosa chakula.Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi... Tatizo nini haswa