Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Tulia dogo, bado tunafanya ile kwa kitaalamu inaitwa upembuzi yakinifu na waliochelewa kuona barabara Iko kwenye ukarabati waone [emoji1787][emoji1787].Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko
Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe?
Naendelea kusema Serikali ya mama ina tatizo la kimfumo mambo hufanyika hovyo hovyo
Na cha kushangaza kelele za machawa ni nyingi mno Bimkubwa yameshinda mwambieni akae pembeni
usinambie kwa tanzania bara hii huko unapoishi hakuna barabara iliofumuliwa ikaachwa tu ila kilio zaidi kipo mtwara asilimia 80 ya barabara zote zimefumuliwa tangu mwezi wa pili na zimeachwa tu mfano watu tunosafiri kutoka masasi songea barabara inavipande vingi vilivyotelekezwa tuKama barabara
zipi hizo mtoa hoja?
Masasi-Songea njia ilikua safi ,ni sehemu gani wamefumu maana ule mkeka bado mpya aisee.usinambie kwa tanzania bara hii huko unapoishi hakuna barabara iliofumuliwa ikaachwa tu ila kilio zaidi kipo mtwara asilimia 80 ya barabara zote zimefumuliwa tangu mwezi wa pili na zimeachwa tu mfano watu tunosafiri kutoka masasi songea barabara inavipande vingi vilivyotelekezwa tu
Bi mkubwa ameshasema yeye chura kiziwi hivyo hasikii kelele... Huyu Rais 2025 akijaribu hata kujishindanisha na tofali na uchaguzi ukawa huru hatoboi.Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko.
Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe?
Naendelea kusema Serikali ya mama ina tatizo la kimfumo mambo hufanyika hovyo hovyo.
Na cha kushangaza kelele za machawa ni nyingi mno Bimkubwa yameshinda mwambieni akae pembeni