Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 Jun 2, 2025 #1 Wandugu Mahakama walituahidi kesi za Tundu Lissu zitarushwa live leo. Tunafahamu Tundu Lissu ana kesi mbili, Ya Uhaini na ya Uchochezi. Kesi ya Uhaini imehairishwa, vipi ya uchochezi ambayo mashahidi wanapaswa kuanza kutoa ushahidi leo?
Wandugu Mahakama walituahidi kesi za Tundu Lissu zitarushwa live leo. Tunafahamu Tundu Lissu ana kesi mbili, Ya Uhaini na ya Uchochezi. Kesi ya Uhaini imehairishwa, vipi ya uchochezi ambayo mashahidi wanapaswa kuanza kutoa ushahidi leo?
Latent chaos JF-Expert Member Joined Jul 15, 2024 Posts 1,515 Reaction score 3,141 Jun 2, 2025 #2 Labda hawana bundle, naskia live streaming ni gharama sana 😁
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,756 Reaction score 11,435 Jun 2, 2025 #3 Mbona wanaoangalia tv majumban wanasemaa wapo live mkuu🤔
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,977 Reaction score 67,600 Jun 2, 2025 #4 edon66 said: Mbona wanaoangalia tv majumban wanasemaa wapo live mkuu🤔 Click to expand... Chanell gani
edon66 said: Mbona wanaoangalia tv majumban wanasemaa wapo live mkuu🤔 Click to expand... Chanell gani