Imekuaje mimba hii iwe yangu?

Imekuaje mimba hii iwe yangu?

Wakuu habar ya majukumu.

Leo nimejitokeza katika jukwaa hili ili mnipe reasons za kitalaama na hata wenye uzoefu juu ya mkasa huu.

Girlfriend wangu nilikua nae tarehe 12 na tuli sex but kabla ya ku sex aliniambia kwamba tarehe zake za kuingia period zinakaribia maana yeye huingia kati ya tarehe 11 mpaka 13 na aliniambia anasikia dalili za kuingia period any time...

Lakini baada ya ku sex siku hiyo ilipita bila kuingia period na siku zikazidi kusonga bila kuingia. Ilipofika tarehe 18 yaani siku sita baada ku sex yeye aliamua kwenda hospital kupima na baada ya hapo akaniambia kwamba amepima na amekutwa n mjamzito.

Wakuu issue hii imenichanganya na hatua ya kwanza nimekataa ujauzito huo, japo kuwa sijaenda kupima kuhakikisha kama kweli ni mjamzito lakn naona kabisa kwamba kwa tarehe zile haikua rahisi yeye kunasa mimba. Wataalam na watu wenye uzoefu na issues hizo karibuni kwa ushauri
Wachana na ngono zembe kijana!
we bado ni mwalimu mwanafunzi tena ukute unasoma masomo ya sanaa na ajira zenu hakuna!

jiandae na malezi tu hiyo mimba ni yako kwani kondomu hukuziona?

Kapime na UKIMWI pia
 
mkuu mbona povu jingi au huyo dem ni dada yako, au unaona wivu sana mimi kumshokoli huyo dem ulitaka niku gegede wewe, mimi sina tabia hizo za ki kameroon tafuta wenye tabia hizo wakukune maana unawashwa
 
Mkuu hivi inawezekana mtu kunasa one day before period?, maana siku hiyo aliniambia ana dalili zote za kuingia period

Mayai ya mwanamke hushuka mpaka kwenye mfuko wa mimba takriban siku 3 yapo tu yakisubr kurutubishwa, yasiporutubishwa ndo yanapasuka na kutoka (damu),

Hivyo yawezekana kabsa mayai yalikuwa yameshuka na kusubr rutuba, hivyo kama ilikua hivyo tegemea Mtoto wa kiume!

Siku nyingne tumia kondom kama hutaki kulea au kuitwa baba mzazi/ mlezi, au ukienda kavu mwambie ameze after sex, kama hayo yote huyajui Fanya ulee maana huba sababu ktofanya hvo,coz ulitemea sumu ndani!
 
mkuu mbona povu jingi au huyo dem ni dada yako, au unaona wivu sana mimi kumshokoli huyo dem ulitaka niku gegede wewe, mimi sina tabia hizo za ki kameroon tafuta wenye tabia hizo wakukune maana unawashwa
Povuuuuuuuuu[emoji13]
usipanic kijana na uskimbie majukumu!

Kama ulibahatika kupata boom ni vema ukatenga kiduchu kwaajili ya kutunza kiumbe huyo.

unagegeda bila kinga ulitegemea nini?
oa tu dogo utaishi ata kwa boom but ukimaliza utaisoma namba
 
Si girlfriend wako? Kwa nini asiwe wako? Au kwa sababu ni mjamzito ndio unakataa, anyway sisi waislam mtoto wa nje ni wa mama
mkuu ushasema ni girlfriend sio mke, kabla ya kukubali unapaswa kupata uhakika maana tunaonana weekend hadi weekend hizi siku zingine anaweza kuwa na ratiba na mtu mwingine
 
Jiongeze mkuu 6 days damn!!!..
Vipimo vya pregnancy vinadetect mimba 12-14 days nakuendelea..
Alivyokuambia yuko kwenye siku za hatari kwa nini huku tumia kinga..
ahsante mkuu kwa maelezo lkn pia sijuwahi juwa kama one day before menstruation huwa ni siku ya hatari
 
Mayai ya mwanamke hushuka mpaka kwenye mfuko wa mimba takriban siku 3 yapo tu yakisubr kurutubishwa, yasiporutubishwa ndo yanapasuka na kutoka (damu),

Hivyo yawezekana kabsa mayai yalikuwa yameshuka na kusubr rutuba, hivyo kama ilikua hivyo tegemea Mtoto wa kiume!

Siku nyingne tumia kondom kama hutaki kulea au kuitwa baba mzazi/ mlezi, au ukienda kavu mwambie ameze after sex, kama hayo yote huyajui Fanya ulee maana huba sababu ktofanya hvo,coz ulitemea sumu ndani!
ahsante kwa maelezo mujarab
 
Yani anaingia period kt ya trh 11-13 alf ww ukapiga kwny 12 hivi hukujiongeza kuna hatari gani hapo!??
Mkuu lete somo hapa tujifunze sote, je hicho ni kipindi cha hatari kwa mwanamke kupata mimba? Au kuna hatari nyingine unayomaanisha
 
mkuu mbona povu jingi au huyo dem ni dada yako, au unaona wivu sana mimi kumshokoli huyo dem ulitaka niku gegede wewe, mimi sina tabia hizo za ki kameroon tafuta wenye tabia hizo wakukune maana unawashwa
mkuu kwa povu hili iyo mimba ni yako!
 
Back
Top Bottom