Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Wachana na ngono zembe kijana!Wakuu habar ya majukumu.
Leo nimejitokeza katika jukwaa hili ili mnipe reasons za kitalaama na hata wenye uzoefu juu ya mkasa huu.
Girlfriend wangu nilikua nae tarehe 12 na tuli sex but kabla ya ku sex aliniambia kwamba tarehe zake za kuingia period zinakaribia maana yeye huingia kati ya tarehe 11 mpaka 13 na aliniambia anasikia dalili za kuingia period any time...
Lakini baada ya ku sex siku hiyo ilipita bila kuingia period na siku zikazidi kusonga bila kuingia. Ilipofika tarehe 18 yaani siku sita baada ku sex yeye aliamua kwenda hospital kupima na baada ya hapo akaniambia kwamba amepima na amekutwa n mjamzito.
Wakuu issue hii imenichanganya na hatua ya kwanza nimekataa ujauzito huo, japo kuwa sijaenda kupima kuhakikisha kama kweli ni mjamzito lakn naona kabisa kwamba kwa tarehe zile haikua rahisi yeye kunasa mimba. Wataalam na watu wenye uzoefu na issues hizo karibuni kwa ushauri
we bado ni mwalimu mwanafunzi tena ukute unasoma masomo ya sanaa na ajira zenu hakuna!
jiandae na malezi tu hiyo mimba ni yako kwani kondomu hukuziona?
Kapime na UKIMWI pia